Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
Kumbe hadi leo hujui kitu? Hustahili kuwemo kwenye mjadala... alikuwa CEO wa Simba queens?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe hadi leo hujui kitu? Hustahili kuwemo kwenye mjadala... alikuwa CEO wa Simba queens?
CEO wa zamani wa Simba ameendelea kutoa ya moyoni kupitia tweets zake ambazo zinamlenga mwanaume mmoja tu. Na muda umeshafika wa kidume huyo KUTAJWA, muda unakwenda kuongea.
View attachment 2692198
hapana alikuwa smart sana... hivi Simba waliokota wapi huyu? Klabu ya wanaume iongozwe na wanaume!