Anayenitafuta sina muda, ninayemtafuta hana muda na mimi

sanalii

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2018
Posts
1,639
Reaction score
5,767
Nimepigiwa simu na A baada ya dakika mbili nikamwambia niko na kazi nafanya nitakutafuta, baada ya kukata nikampigia B, mara ya kwanza hajapokea, nikapiga tena kapokea anasema anataka apunzike.

Ngoma drooo.
 
Nimepigiwa simu na A baada ya daakika mbili nikamwambia niko na kazi nafanya ntakutafuta, baada ya kukata nikampigia B, mara ya kwanza hajapokea, nikapiga tena kapokea anasema anataka apunzike,

Ngoma drooo.
Inaitwa Magazijuto
 
IMG-20211119-WA0095.jpg
 
Tit for tat. Kwani yana maana basi, hata yasikuhangaishe. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nimepigiwa simu na A baada ya daakika mbili nikamwambia niko na kazi nafanya ntakutafuta, baada ya kukata nikampigia B, mara ya kwanza hajapokea, nikapiga tena kapokea anasema anataka apunzike,

Ngoma drooo.
Tunazika ama tunasafirisha?
 
Back
Top Bottom