PreGE2025 Anayeona NO REFORM NO ELECTION haina maana kwake mlango uko wazi kwenda vyama vingine

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

koryo1952

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2023
Posts
1,289
Reaction score
2,199
No reform No Election limewatia tumbo joto hasa wasaka tonge. Slogan hii ilianzishwa na Wana CHADEMA wote na leo wanapotaka nafasi za Rais, Ubunge na Udiwani wanatoka wazi kuukana slogan yao. Ndugu zangu tumbo ni mbaya sana. Wengi pale CHADEMA wako kwa nafasi ya matumbo yao na siyo kuitetea nchi ili ije na Katiba na Sheria nzuri za uchaguzi.
 
Mwamba alianzisha no reform no elections ili watawala wapande dau;
Sasa imedondokea kwa Ts na mkulya ccm tumbo joto
 
CCM wanasema watashiriki, kama sisi hatushiriki maana yake njia nyeupe. So hawa wapuuzi si wahamie CCM
 
No reform No Election limewatia tumbo joto hasa wasaka tonge. Slogan hii ilianzishwa na Wana CHADEMA wote na leo wanapotaka nafasi za Rais, Ubunge na Udiwani wanatoka wazi kuukana slogan yao. Ndugu zangu tumbo ni mbaya sana. Wengi pale CHADEMA wako kwa nafasi ya matumbo yao na siyo kuitetea nchi ili ije na Katiba na Sheria nzuri za uchaguzi.
Short and clear
 
Ni rahisi tu, Waende wakagombee CCM with Maximum probability ya kuingia mjengoni. Kwani wanateseka wakiwa wapi🤔
 
Back
Top Bottom