Anayeona posho haimtoshi afungashe virago - Nchemba Mwigulu

Anayeona posho haimtoshi afungashe virago - Nchemba Mwigulu

Admin. Siyaoni maoni yangu niliyopost hapa majira ya saa 1 leo jioni kuhusu posho za wabunge. Kulikoni?
Lakini hina neno nitarudia rai yangu.
WABUNGE WALIODAI POSHO ZAIDI WAFUKUZWE KWENYE CA, NA ISIWE HIYARI YAO KUTOKA AU LA KAMA NAFIKIRI SERKALI INAVYOTAKA. Wachaguliwe wengine badala yao.
Ni ufinyu wa fikra kuamani kwamba hawa walionyimwa nyongeza ya posho watafanya kazi makini kwani wana kinyongo.
Pia tujuzwe ilukuaje aliyewateua hakutabiri kwamba hili la watu kudai nyongeza lingeleta utata. Sitaki kuamini kwamba hii senema yote ya bure ya CA, ilipangwa kwa makusudi, lakini nalazimika kufanya kufanya hivyo.
 
Back
Top Bottom