Asphalt1961
Member
- Jan 7, 2022
- 7
- 25
Habarini wazalendo wenzangu.
Napata ukakasi sana juu ya kuelewa aina ya ziara anazofanya makamu wetu wa Rais, mbona ni kama haonekani kabisa kwenye ramani kwa anachokifanya?
Suala la pili ni hizi ratiba za kila siku kushinda Kigoma huyu mzee kila akionekana kwenye ramani, ina maana yeye ni makamu wa Rais nchi ya Kigoma au TANZANIA kiujumla?
Huyu mzee ni mtu smart sana tangu akiwa anatufundisha chuoni miaka hiyo, Inawezekana kabisa upangiwaji wake wa ratiba hauko sawa sawa au yeye mwenyewe ratiba zake haziweki sawa asaidiwe.
Kulikuwa na Makamu wa Rais wapole na wakimya zaidi yake (eg: Dkt. shein na Dkt. Bilal) lakini walikuwa wanajitahidi kutanua mbawa zao na waonekane kwa kila wanachofanya yet unaona kazi inafanyika kabisa plus presence yao.
Ikumbukwe Rais anapotoka bara, basi Makamu anatoka visiwani. Muda huu Mh. Rais wetu mpendwa ni wa kutokea visiwani na makamu yeye ndiye anayetokea bara, anajiskiaje anaposhindwa kuonyesha uwezo wake na kutanua mbawa zake vizuri ili ku-utilize kila sehemu according to cheo chake?
Huyu mzee asaidiwe kupangiwa ratiba zake vyema, especially chama cha Mapinduzi inabidi waone la kumsaidia. He is a gentleman aliyekuwa kwenye uongozi wa juu kuliko wanaume wote hapa nchini na anashindwa mpaka na Waziri mkuu kupanga ratiba tu na kufanya mambo yenye uzito kwa cheo chake. Hizi safari za kila siku kigoma kigoma kutembelea mbuga hata hazijulikani sio sawa, Tanzania ni kubwa sana, shughuli ni nyingi sana na miradi kibao, wizara nyingi mno na anapaswa kumsaidia mama yetu vizuri.
NB: Nimeona jana akiwa Uganda kushiriki halfla ya bomba la mafuta, we need that more na publications za kutosha.