Anayepaswa kupeleka shahidi Mahakamani ni nani?

mugah di matheo

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2018
Posts
6,307
Reaction score
12,410
Anaepaswa kumtaarifu mtu kuwa anatakiwa kwenda kutoa hasa kwa upande wa mashitaka hususan Jamuhuri??

Je ni Dpp?
Je ni DCI ?
Au ni Polisi??
 
Huku Dubai tuna taxi ambazo zinaendeshwa na robot!
 
Ndiyo madhara ya kesi za michongo na washahidi wa michongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…