Anayepata usingizi mnono awamu hii aje hapa

Anayepata usingizi mnono awamu hii aje hapa

Mdakuzi mkuu

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2016
Posts
212
Reaction score
720
Kipindi kimekuwa kigumu mno.Hela hamna,matumizi yaleyale..watoto ada zilezile.Pesa haipatikani, hata kwa mm ambaye siyo fisadi na sitegemei kuwa fisadi.

Usingizi mnono ulikuwa mwisho July 2015. Baada ya hapo mpk leo hii,sina usingizi mnono,naona aibu kulala fofofo nikikoroma na kuota wakati sina hela, na sijui nitapata lini.

Kipindi hiki anayelala usingizi mnono aje atupe siri ya mafanikio
 
Be the first to reply

Nimesikia kesho hela zinarudi mtaani [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Unalala saa sita usiku,saa tisa usiku usingizi unakata na ndiyo nitolee hiyo. Wengine hadi tumeanza kuota huku tuko macho.
 
Nawasubiri wanaokoroma watupe siri ya mafanikio
 
Huwezi kulala usingizi mkuu kwa sababu juzi tu umetoka kupondewa mawe subaru forester yako baada ya kutumika katika ugoni!!
 
Mimi nalala na usingizi hauishi
 
Je hapa wazima wote?

Haya mimi nawasalimia tu
 
05-770x425.jpg
 
Back
Top Bottom