Ila usisahau kitu kimoja. Urafiki wa kawaidia kati ya watu wa jinsi mbili huwa ni wa pekee sana. Mara nyingi hawa watu watapaswa kushea interests kadhaa au kutunziana siri, kushauriana, kusoma, kufanya kazi pamoja nk.. wengine hata hufanyiana ukuwadi. Uhusiano wenyewe usipokuwa natural enough (ktk sensi ya upekee wake) hautakawia kuporomoka na hivyo kutofikia malengo.
Ukuwadi tena?!HAYA!!!
The Following User Says Thank You to Eiyer For This Useful Post: Safina.Kwa maoni yangu kuna vitu vingi sana vya kuangalia..Ingekuwa wote tupo kwenye level moja kila kitu basi ingekuwa rahisi kutambua..
Mi ninavyoona, mambo yafuatayo yanawezeka kusababisha mtu akawa na upendo fake ili atimize azma yake..
1. umaskini
2. dini/imani
3. elimu
4. umri
5. maeneo tunayoishi (asili yetu)/kabila
6. Magonjwa
Hivi vitu visiposhughulikiwa mapema vinaweza kupelekea mapenzi ya uongo..Mtu anaweza 'kukupenda' kwa sababu ya kipato chako. au mwingine atadanganya kwamba anaishi 'Dar' ili muwe wapenzi..
Kwa hiyo kumjua mtu kama anaupendo wa kweli basi ni vyema
1.Uandae vigezo vyako ili kumpima mwenzio
2.Kujenga tabia ya kuwa wazi kusema umri, elimu, n,k kama nilivyoorodhesha hapo juu
3.Kuwa na uvumilivu/kusubiri ili kuujua undani wa mwenzio
4.kujiatahidi kupata ushauri kama kuna utata
5.Kumshirikisha Mungu sana.
Ni hayo
Halafu wadada wengi huwa tunadondokea mikononi mwa wanaoigiza tunaacha wale halisia sijui huwa inatokana na niniWatu wengi tunapenda kusema yule mtoto au jamaa ananipenda sana a.k.a kanizimia ile mbaya nk. Naomba wanajamvi tujadili jambo hili kwa kina. Maadam kuna wasanii wengi sana ktk maisha ya siku hizi unaweza vipi kumtofautisha mtu anayekupenda kwa dhati na anayekusudia hasa (kwa dhati) kuonekana anakupenda kwa dhati japo siyo kweli?
Hadi kufikia muda huu naamini kwamba kama mtu ana lake jambo na amekusudia kwa nia moja anaweza kuigiza vizuri kiasi cha kuaminika kama anayependa kwa dhati wakati kumbe ana nia yake tofauti, na kupenda ni njia tu kufikia malengo. Mfano mzuri ni kijana anayempenda binti na kufanya mengi tu kama kubadili dini nk akidai anapenda lakini akishafaidi anachotaka huyoooo! anatimua. Hamjawasikia watu kama hao? Baadhi yao wanasema waziwazi kwamba iliwalazimu kujifanya wamependa ile mbaya ili wapate. Madada pia wapo wanaodai walijifanya wamependa ili kupata utajiri nk.
Halafu wadada wengi huwa tunadondokea mikononi mwa wanaoigiza tunaacha wale halisia sijui huwa inatokana na nini
swali lako kidgo ina utata kwenye majibu!!!!!!!!!!!!