GE2025 Anayepinga Uteuzi wa Luhaga Mpina ACT-Wazalendo kuna viongozi na wanachama wako nyuma yake

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Anayepinga uteuzi wa Luhaga Mpina kama mgombea wa Urais kupitia ACT Wazalendo asema kuna viongozi na wanachama wako nyuma yake.

Akiongea na The Chanzo leo Agosti 16, 2025, Monica Ndala, ambaye ni Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa ACT Wazalendo, ameeleza kuwa anategemea kuchukua hatua za ziada kama chama hicho hakitajibu malalamiko yake.

Ndala anasema kanuni zimevunjwa katika kumteua Mpina aliyechaguliwa kwa 92%, na Mkutano Mkuu wa chama hicho.

Siku zote, maamuzi yasiyo na subira yana mushkeli.
 
Mpina ameingia chaka.
Ilikuwa abaki na ubunge wake.
Watu wa jimbo lake bado wanamhitaji.
 
Kaole cultural group

Wetu zaidi ya yule wa comedian wa Ukraine
 
Anayepinga uteuzi wa Luhaga Mpina kama mgombea wa Urais kupitia ACT Wazalendo asema kuna viongozi na wanachama wako nyuma yake.

Akiongea na The Chanzo leo Agosti 16, 2025, Monica Ndala, ambaye ni Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa ACT Wazalendo, ameeleza kuwa anategemea kuchukua hatua za ziada kama chama hicho hakitajibu malalamiko yake.

Ndala anasema kanuni zimevunjwa katika kumteua Mpina aliyechaguliwa kwa 92%, na Mkutano Mkuu wa chama hicho.

Inakuaje chama cha uzalendo kina vunja katiba ya chama?
 
watulie wayamalize wasiruhusu kuwapa nafasi CCM kukichafua chama chao
 
Back
Top Bottom