Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Siku zote, maamuzi yasiyo na subira yana mushkeli.Anayepinga uteuzi wa Luhaga Mpina kama mgombea wa Urais kupitia ACT Wazalendo asema kuna viongozi na wanachama wako nyuma yake.
Akiongea na The Chanzo leo Agosti 16, 2025, Monica Ndala, ambaye ni Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa ACT Wazalendo, ameeleza kuwa anategemea kuchukua hatua za ziada kama chama hicho hakitajibu malalamiko yake.
Ndala anasema kanuni zimevunjwa katika kumteua Mpina aliyechaguliwa kwa 92%, na Mkutano Mkuu wa chama hicho.
Uzuri kadi ya CCM bado anayo, muda utazungumzaHuyo mpina anatafuta umaarufu kisha anarudi Ccm hamna kitu hapo.
Inakuaje chama cha uzalendo kina vunja katiba ya chama?Anayepinga uteuzi wa Luhaga Mpina kama mgombea wa Urais kupitia ACT Wazalendo asema kuna viongozi na wanachama wako nyuma yake.