Anayesema ukilala sana na malaya huwezi kuwa tajiri aniulize mimi!

Niliacha kutokana na ubize na familia. Na wakati huo na bado hela hazikukauka kwangu
Hongera, umefikia hatua moja nzuri sana. Bado hatua mbili tu mpaka ufike stesheni ya ahadi.
Hapo ulipofikia ni pazuri sana.

Na ukijiangalia mwenyewe kisaikolojia utagundua tofauti ya upeo wako wa kuelewa maisha katika hatua ile ya mwanzo wa maisha yako na haya maisha uliyoyachagua sasa hivi.
Uzi huu ni mzuri sana, wengi hawajauelewa vizuri. Ukitaka kuuelewa vizuri, chukua MAISHA kama safari. Huyu ni msafiri anayejitahidi kutafuta njia sahihi itayomfikisha kituo halisi. Kumbuka- kupotea njia ndiko kujua njia, na ukipotea njia haimaanishi hutafika uendako, bali itakupa uzoefu zaidi wa kujua usilolijua.

Pamoja na kuweka pesa kama jambo kubwa, lakini suala kubwa hapa ni maisha kwa ujumla wake. Endelea kutafiti.
 


Nitajibu kwa kifupi:

Ngono ni serious exchange of inner being and so spiritual, unapolala na wanawake wengi unapoteza identity yako.

Umalaya na tabia ya kulala na wake wengi una mazara kabisa kwenye maisha.....
 
Na Hao Malaya uliofanya nao UZINZI na uasherati wako nao ni Matajiri?

Eleza hapa...

Skiza mkuu kuna binadamu ni Miungu ya ngono tazama kuna msanii huko Yeye ngono kwake ni kitu Cha kujisifia...

Ni Mungu yupi huyo ametengua amri ya 6?

Mko hapa kupoteza nafsi za wengine si zaidi ya Hilo...
 
Hivi anaelala na malaya nayeye si malaya pia? maana sababu inayomfanya malaya kukaa barabarani ni kwakuwepo kwa hao hao wanaolala nao, biashara hili iitwe biashara ni kw kuwepo kwa mlaji na muuzaji hivyo hata umalaya unakamilika kwa kuwepo kwa muuzaji na mnunuzi mana kama ni sababu kila mmoja anasababu zake kuwa anaenda kweny danguro haijalishi ni mnunuzi au muuzaji.
 
Wanaosema hawazini, hawapendi ngono nk, ndiyo makapuku wakubwa, kwa nini? Kwa sababu wanamuongopea Mungu. Kwamba wabarikiwe kwa sababu eti siyo wazinzi never!. Mambo hayaendi hivyo.
Daa I like this one man 💯 is 💪.

Watu tunajidanganya sana kwa njia hiyo, naomba nisiongeze kitu!.
 
Unaweza ukawa na Pesa kibao na Bado ukawa umebabe laana na mikosi ya malaya.omba Mungu sana iyo kitu kama umeibeba isihamie kwenye kizazi chako afu cha Mwisho Sio kila malaya ni mpumbavu wapo ambao kila siku lazima wajifanyie utakaso wa kiroho . Wale mbwa wanatembea sana kwa Waganga.
 
Sio dhambi kupenda kiumbe cha Mungu we wapelekee motoo tu 🔥🔥🔥🔥
 
Huo mkazo unaokazia [emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa kiumbe cha mungu kizuri mmependana shida iko wapi hakuna dhambi hapo 😄 mungu hapendi tu inapoanza kukodishwa kwa pesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…