Anayesema ukilala sana na malaya huwezi kuwa tajiri aniulize mimi!

Hakuna maandiko yanayosadifu ulichonena. Yaani tunagonga na hela hazikauki.
Yaani Mungu kwenye amri zake aseme USIZINI, halafu wewe uzini, then ufanikiwe.
Kwa maana nyingine Mungu anapingana na neno lake. Acha kukumfuru Mungu, Mungu sio mwanasiasa mpaka aseme uongo
 
Yaani Mungu kwenye amri zake aseme USIZINI, halafu wewe uzini, then ufanikiwe.
Kwa maana nyingine Mungu anapingana na neno lake. Acha kukumfuru Mungu, Mungu sio mwanasiasa mpaka aseme uongo
Upo gizani. Unafahamu ili uwe mtu wa Mungu ufanye nini? Naweza kuwa nagonga mademu na bado nikawa mtu wake. Kuna kitu ukiwa nacho unakuwa ni mtu WAKE. Hukijui!

Tembea uone wale wanaojinadi hawazini namna maisha yalivyowachapa. Kutozini au kuzini si guarantee ya Mungu kukupa WEWE mali. FUTA hicho kitu tangu leo.

Unakijua kisa cha Balaamu?
 
Lipia tangazo, unatamba kuwa una pesa.
 
vipi hukupata ukimwi na magono
 
Mungu na shetani wote wanatoa utajiri.
Kama utajiri wako unatokana na maagano na Mungu, ukizini umevunja agano na utajiri wake aliokupa anauchukua. Usidanganye watu
Wewe una maagano na upande wa ibilisi ambao ngono kwake sio issue
Vipi kwa mfalme mwenye hekima duniani
 
Wewe kutokuwa na shida haimaanishi ni Mtu wa Mungu. Shetani huwahudumia watu wake.

Usitake kupotosha watu hapa. Pambana na laana zako. Na mtu anaepitia shida haimaanishi sio mtu wa Mungu.
 
Wewe kutokuwa na shida haimaanishi ni Mtu wa Mungu. Shetani huwahudumia watu wake.

Usitake kupotosha watu hapa. Pambana na laana zako. Na mtu anaepitia shida haimaanishi sio mtu wa Mungu.
[emoji23][emoji23][emoji23] wewe kutonitambua kama mtu wa Mungu hainiondolei Mungu kunitambua kama mtu wake.[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mungu akurehemu na omba sana toba pia uzinzi utakuingiza jehanamu ndugu dunia tunapita na mambo yote yanapita lakini neno la Mungu Yesu Kristo atabaki milele tubuni basi mrejee pia nakuombe ilo pepo la uzinzi likuachie likutoke ukapate uponyaji uache uzinzi Mungu Baba wa mbinguni akusaidie akuponye
 
[emoji23][emoji23][emoji23] wewe kutonitambua kama mtu wa Mungu hainiondolei Mungu kunitambua kama mtu wake.[emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe kuwa mtu wa Mungu ila uko huku unapoteza kondoo wake sio shida zangu utapambana nae mwenyewe
 
Husinihukumu Mwenyezi Mungu ndo ananijua wewe huwezi nijua maana Mungu ndo anachunguza mioyo so wewe ni ngumu kunifahamu bro na kazi inaendelea kuhubiri neno la Mungu sintaacha nitamuhubiri Yesu mpaka atakaporudi unasikia damu ya Yesu ukutakase hayo mawazo yako machafu.
 
Ungemtumia tu huo uchafu wake ktk simu yake.
 
Ukute maombi ya mama yako yalikubeba uko hapa unajisifu
 
Nitajibu kwa kifupi:

Ngono ni serious exchange of inner being and so spiritual, unapolala na wanawake wengi unapoteza identity yako.

Umalaya na tabia ya kulala na wake wengi una mazara kabisa kwenye maisha.....
No napingana na wewe man
Inategemea na vile unavyoingiza uume wako ndani ya uke basi na kama midomo yenu itakutana na jinsi miili yenu itakavyogusana..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…