Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 33,092 Reaction score 96,127 Feb 28, 2025 #261 ephen_ said: Mwenzako aliienda kushtaki polisi zaidi ya mara 1 Click to expand... Basi Naomi alikuwa ni mtata sana.
ephen_ said: Mwenzako aliienda kushtaki polisi zaidi ya mara 1 Click to expand... Basi Naomi alikuwa ni mtata sana.
ephen_ JF-Expert Member Joined Oct 28, 2022 Posts 14,949 Reaction score 54,485 Feb 28, 2025 #262 Wewe soma huu uzi uone. Nilikua namtetea Naomi ila khamis alipitia mengi Tate Mkuu said: Basi Naomi alikuwa ni mtata sana. Click to expand...
Wewe soma huu uzi uone. Nilikua namtetea Naomi ila khamis alipitia mengi Tate Mkuu said: Basi Naomi alikuwa ni mtata sana. Click to expand...
Sir John Roberts JF-Expert Member Joined Mar 1, 2017 Posts 12,835 Reaction score 23,584 Feb 28, 2025 #263 Ms Billionaire said: Kwenye mada kama hizi wanaume hutowaskia wakiongea sana. Hili tukio angefanya mwanamke saizi thread ina comments laki sita. Click to expand... Kuwa makini unaonekana una mdomo sana ukikutana na mwanaume kichaa kama huyu hamisi gunia za mkaa zitakuhusu shauri yako.
Ms Billionaire said: Kwenye mada kama hizi wanaume hutowaskia wakiongea sana. Hili tukio angefanya mwanamke saizi thread ina comments laki sita. Click to expand... Kuwa makini unaonekana una mdomo sana ukikutana na mwanaume kichaa kama huyu hamisi gunia za mkaa zitakuhusu shauri yako.