Anayeshtakiwa kumuua Mkewe adai haogopi Kunyongwa

Wanaonyongwa upata nafasi kubwa sana ya kuingia mbinguni kwa sababu wanapata mda mwingi sana wa kufanya toba na kutokuwa na nafasi ya kuingiza dhambi nyingine mpya mawazoni mwao sababu ya kukaa upweke peke Yao,wanakuw tayari washakufa kiroho yaani kukosa tumaini.
 
"Ninataka kesi hii iwe fundisho kwa watu wengi,
Mpo kwenye ndoa ndo mnashtuka hamuendani wote kambale mnawafata viongoz wa dini ili kila mtu abebe kipande chake cha mbao hawaelewi wanawaambia jahazi ili mpaka mfike nalo kisiwa cha ahadi wazazi nao badala ya kusuruhisha na kukemea maovu wanatetea upande wa watoto wao .kijana ukiona ndoa inakupa presha baada ya furaha ivunje mapema sana kuepusha fedheha
 
Ila namsifu jamaa kwa alichoeleza mbele ya mahakama. Naomi alikuwa msumbufu sana hata majirani zake Kigamboni wanakili hilo wazi baada ya hilo sekeseke kutokea 2019.
 
Pana mtumishi mmoja wa Mungu akiwa mganga zamani alitoa ushuhuda jinsi kwanini wanandoa wanauwana,
Kama wanamuhitaji mmoja wao Huwa wanatuma mapepo mawili moja kwa mme mwingine kwa mke then kinatafutwa chanzo Cha maudhi kupitia kauli mnaanza kujibizana majibizano upambano moto kwa msaada wa Yale majini mawili yatapelekea mtavurugana haswa mtaanza kupigana ugomvi huo ndio upelekea kifo Cha mlengwa either kwa hasira utamshuti risasi,kumchoma kisu,kumbamiza kichwa,kuangukia kwenye meza ya kioo nk then utabeba hospital ndio kwa heri hio then Yale majini mawili yanaondoka ndipo ufahamu wako unarudi unaanza kuhisi hatia maswali kibao kwann nilikosa uvumilivu.
Watu wajifunze sana somo la emotional intelligence yaani jinsi ya kuikabili migogoro ya ndoa.
Inisaidia usiingie jela kisa mapenzi
 
Usiweke Mbususu kama kipaumbele kwenye maisha yako. Wanawake watakusumbua sana.

Haya ndio matokeo yake.
 
Pana mtumishi mmoja wa Mungu akiwa mganga zamani alitoa ushuhuda jinsi kwanini wanandoa wanauwana,
Kama wanamuhitaji mmoja wao Huwa wanatuma mapepo mawili moja kwa mme mwingine kwa mke then kinatafutwa chanzo Cha maudhi kupitia kauli mnaanza kujibizana majibizano upambano moto kwa msaada wa Yale majini mawili yatapelekea mtavurugana haswa mtaanza kupigana ugomvi huo ndio upelekea kifo Cha mlengwa either kwa hasira utamshuti risasi,kumchoma kisu,kumbamiza kichwa,kuangukia kwenye meza ya kioo nk then utabeba hospital ndio kwa heri hio then Yale majini mawili yanaondoka ndipo ufahamu wako unarudi unaanza kuhisi hatia maswali kibao kwann nilikosa uvumilivu.
Watu wajifunze sana somo la emotional intelligence yaani jinsi ya kuikabili migogoro ya ndoa.
Inisaidia usiingie jela kisa mapenzi
 
Dawa ni kukataa ndoa ni utapeli😆
 
Kitendo cha kua tayari kwa hukumu yeyote hata kunyongwa hadi kufa,kinaashiria kua mtuhumiwa amekubali kosa lake,na anaona kabisa kua ni haki kuhukumiwa kwa alichokifanya,

Sometimes majuto huja baada ya kitendo but hua ni too little too late.
Dhambi ya kuua ipo siku utakiri mwenyewe au mafichoni au hadharani
 
Naomi alikuwa anataka kuachwa ili wagawane mali.

Mshikaji ni kama hakulijua hilo au naye alikuwa anaogopa mali kugawanywa
Naomi alishapata jamaa mwengine aliyemzuzua, mtuhumiwa alikuwa anajua na walishajaribu kusuruhisha lakini Naomi alikuwa kichwa bure akawa anadai talaka ndoa ivunjwe wagawane pasupasu ili atimkie kwa mshkaji mpya.
Kama mashuhuda wanavyosema, ilifikia kipindi Naomi analetwa na mshkaji mpaka nyumbani Gezaulole na mshtakiwa anapata habari lakini alikuwa kimya baada ya suluhu zote kwa mshenga mpaka wazazi kugonga mwamba. Wakawa wanaishi ili mradi tu siku zisonge watoto waende shule,Visa vilikuwa vingi kwa upande wa Naomi juu ya mumewe. Hakika mtuhumiwa alimvumilia sana mkewe...
Yote juu ya yote ndio hayo tuliyosikia yaliyotokea na mtuhumiwa amekiri wazi na kuelezea jinsi ilivyokuwa siku hiyo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…