Anayeshtakiwa kumuua Mkewe adai haogopi Kunyongwa

Anayeshtakiwa kumuua Mkewe adai haogopi Kunyongwa

Naomi alishapata jamaa mwengine aliyemzuzua, mtuhumiwa alikuwa anajua na walishajaribu kusuruhisha lakini Naomi alikuwa kichwa bure akawa anadai talaka ndoa ivunjwe wagawane pasupasu ili atimkie kwa mshkaji mpya.
Kama mashuhuda wanavyosema, ilifikia kipindi Naomi analetwa na mshkaji mpaka nyumbani Gezaulole na mshtakiwa anapata habari lakini alikuwa kimya baada ya suluhu zote kwa mshenga mpaka wazazi kugonga mwamba. Wakawa wanaishi ili mradi tu siku zisonge watoto waende shule,Visa vilikuwa vingi kwa upande wa Naomi juu ya mumewe. Hakika mtuhumiwa alimvumilia sana mkewe...
Yote juu ya yote ndio hayo tuliyosikia yaliyotokea na mtuhumiwa amekiri wazi na kuelezea jinsi ilivyokuwa siku hiyo...
Duuh hatari sana.

Jamaa alikuwa bize kutafuta maisha hadi ana milki nyumba sita inaonekana alikuwa hamtombi vizuri.

Kanuni ni ile ile ukiwa na peda huna muda na ukiwa na muda huna pesa
 
Mambo yakifikia kushikana miili kwaajili ya kudhuru, kulala vyumba tofauti mkawa kama mmehalalisha Open Relationship.
Bora ndoa ivunjwe, kuepuka ulemavu na vifo kisa ndoa.

Mtuhumiwa yuko tayari kunyongwa, mleta uzi ni sifi leo [emoji847]
Mie kila siku huwa nasema hili, tatizo wabongo wanapenda kuishi kwa kuridhisha watu, ndoa ya shangazii niliivunja wazi wazi mbele ya kikao, na ananishukuru had leo.
 
Mambo yakifikia kushikana miili kwaajili ya kudhuru, kulala vyumba tofauti mkawa kama mmehalalisha Open Relationship.
Bora ndoa ivunjwe, kuepuka ulemavu na vifo kisa ndoa.

Mtuhumiwa yuko tayari kunyongwa, mleta uzi ni sifi leo 🤗
Nimekuunga mkono ulichosema in your first paragraph alafu mwishoni mwa comment yako ukanifanya nicheke.🤣🤣
Aliyetayari kufa anaripotiwa na asiyetayari kufa 🤣🤣🤣
 
Hatia haikwepeki hata akiachiwa huru ataweka wapi uso wapi kwa jamii,ndugu,nk mbaya zaidi kwa watoto kwamba baba ndie aliyemuua mama, huwezi tenganisha bond ya mtoto na mama hata mama awe mbaya vipi hakuna mama mbaya kwa mtoto ni sawa na hakuna mtoto mbaya kwa mama sababu ya ule muunganiko kupitia kitovu.
 
Mpo kwenye ndoa ndo mnashtuka hamuendani wote kambale mnawafata viongoz wa dini ili kila mtu abebe kipande chake cha mbao hawaelewi wanawaambia jahazi ili mpaka mfike nalo kisiwa cha ahadi wazazi nao badala ya kusuruhisha na kukemea maovu wanatetea upande wa watoto wao .kijana ukiona ndoa inakupa presha baada ya furaha ivunje mapema sana kuepusha fedheha
Mimi kuvunja ndoa yangu sihitaji ushauri wa mtu yeyote kama ambavyo nilimtongoza hadi kumuoa bila msukumo wala hamasa ya mtu yeyote.
 
Mambo yakifikia kushikana miili kwaajili ya kudhuru, kulala vyumba tofauti mkawa kama mmehalalisha Open Relationship.
Bora ndoa ivunjwe, kuepuka ulemavu na vifo kisa ndoa.

Mtuhumiwa yuko tayari kunyongwa, mleta uzi ni sifi leo 🤗
Kuvunja ndoa sio jambo la siku moja,kuna wakati inaweza chukua hata miaka 3 mpaka 4,sasa hapo mnaposubiria hilo litimie ni chuki ya hali ya juu inazidi kuwajaa,kila mmoja haoni thamani ya mwenzake kuishi,kinachofuata ndio hayo mauaji.Kinachowachelewesha mara nyingi ni ile mambo ya kujipa matumaini kuwa inawezekana hali ikabadilika,hapo kuna ndugu wanawasihi,watumishi wa Mungu,marafiki n.k...
 
Mie kila siku huwa nasema hili, tatizo wabongo wanapenda kuishi kwa kuridhisha watu, ndoa ya shangazii niliivunja wazi wazi mbele ya kikao, na ananishukuru had leo.
Watu wanapenda ile kaolewa na pete zile kibongo bongo wanaona deal. Hata kama ndani hakukaliki. Mapenzi ni furaha, mkianza kick boxing kila mtu aende njia yake. Kusiwe na kisingizio cha watoto wala mali lah gunia zinakuhusu...
 
Back
Top Bottom