KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 32,529
- 76,691
swali zuri sanaHiyo nafuu uliyopata ulibaini baada ya kufanyaje? Kuna vyakula ulikua huli ukajaribu kula?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
swali zuri sanaHiyo nafuu uliyopata ulibaini baada ya kufanyaje? Kuna vyakula ulikua huli ukajaribu kula?
Shambani kwetu yamejaa kibao.Nauupload lakini inakataa
Ni sahihi mkuu,na majani haya ni dawa nzuri tu,Mimi Huwa natumia sana,na kwa kuwa upatikanaji wake,yakiwa mabichi ni aghalabu sana,chukua majani yaanike kwenye chombo au kiroba kisafi yakauke kwa bila kuanikwa juani. Kisha chambua yatwange, baadae yasage kwa Brenda,UNGA wake unatumia kwa kijiko cha chakula,kwa ratiba ulioitaja hapo. Unaweza kusaga na kuhifadhi kwenye chupa au kopo kwenye mfuniko,na ukawa nayo kwa muda mrefu. Dawa hii ni baridi,tumia kwa kubwia na kusukumia na maji. Kwa wale wa mjini,unaweza kupata majani haya kwenye masoko ya mboga za majani yanajulikana kwa jina la mboga ya 'Mbwembwe'.Habari za Leo wakuu,
Haijalishi vidonda vyako vimefika hatua gani au umekuwa ukisumbuliwa kwa muda gani, unaweza kutumia tiba ya asili kwa majani ya mashona nguo. Haya ni yale majani ambayo huwa yanatoa vimiba vidogo vya rangi nyeusi vyembamba, ambavyo huweza kunasa nguo unapopita karibu nayo.
Jinsi ya Kutumia:
1. Chukua majani kiasi cha ukubwa wa kiganja cha mkono.
2. Weka kwenye maji kiasi cha glasi moja.
3. Chemsha kwa muda mfupi hadi rangi ya maji ibadilike na kuwa ya machungwa (orange).
4. Epua na chuja kisha kunywa.
Ratiba ya Matumizi:
• Kunywa kila asubuhi ukiamka kabla ya kula chochote.
• Rudia jioni kabla ya mlo wa usiku.
Mimi mwenyewe nimetumia ndani ya siku mbili na nilipata nafuu ya ajabu.
Kila la heri!
Sharing is caring
Uzuri nilipo yanapatikana Kwa wingi Sana yameota Sana Na sokoni pia yanauzwa Kwa mafungu kama mboga za majaniNi sahihi mkuu,na majani haya ni dawa nzuri tu,Mimi Huwa natumia sana,na kwa kuwa upatikanaji wake,yakiwa mabichi ni aghalabu sana,chukua majani yaanike kwenye chombo au kiroba kisafi yakauke kwa bila kuanikwa juani. Kisha chambua yatwange, baadae yasage kwa Brenda,UNGA wake unatumia kwa kijiko cha chakula,kwa ratiba ulioitaja hapo. Unaweza kusaga na kuhifadhi kwenye chupa au kopo kwenye mfuniko,na ukawa nayo kwa muda mrefu. Dawa hii ni baridi,tumia kwa kubwia na kusukumia na maji. Kwa wale wa mjini,unaweza kupata majani haya kwenye masoko ya mboga za majani yanajulikana kwa jina la mboga ya 'Mbwembwe'.
Ingelikuwa jamaa kaelezea 'mkuyati' kwa ajili ya mambo yetu yalee, ungelihoji na kushauri hivyo?Una uthibitisho wa kitabibu?
Dawa za kujisemea au kusikia kwa watu sio nzuri.
Afya ni kitu cha muhimu sana, sana, sana. Huwezi tumia maneno ya watu kuamua mustakabali wake.
Bidens pilosa, commonly known as Black Jack, is a flowering plant in the Asteraceae family. It is native to the Americas but has spread to many tropical and subtropical regions worldwide. Here are some key points about this plant:Bidens pilosa (Black Jack)..nilikuwa najua tu kwa vidonda vya kawaida.
Los Angeles hayapo mkuu,Weka picha ya hayo majani