Gojaga Nize
JF-Expert Member
- Jul 1, 2015
- 3,177
- 2,549
Habari Wana jukwaa.
Nina haya Mawe mengi sana kwenye Shamba langu. Yapo Rangi nyeupe kabisa, Meusi mfano Kama chuma, yapo ya Blue, na Rangi zingine.
Pia eneo Lina Mawe ya chokaa kwa ambaye anahitaji kutengeneza mgodi wa chokaa.
Ukichimba kidogo Kuna traces za Copper ambayo Iko Kama dhahabu, na kwa wajuzi wanasema ukiona hivo means dhahabu IPO.
Nimefanya mpango wa kuyachimba na kuyakusanya lakini mtaji umekuwa kikwazo nabaki nayaangalia tu.
Mwenye kuhitaji namuomba aje inbox tuongee biashara.
Mtu alie serious tu, matani tuwaachie watani wa Hadi.