Anayetaka kumiliki private school

Umezaliwa mwaka gani?old moshi iyo shule ilikua na wababe Sana,wakienda shule yeyote kucheza mechi ,wakifugwa Ni fujo ya hatari ,kolila iko shambani uko fujo wamletee Nani,old moshi ipo mjini ,mpaka barabara inakua haipitiki
Halafu pia tulikua tunakula Mbususu za Mucobs,yaani vijana wa sec tukishatumiwa pesa za matumizi tunaenda kuhonga watoto wa Chuo. Dah! Nimemkumbuka Eliza wa Diploma kama upo humu ni mimi Denis Daniel(nilikudanganya jina)
 
Sasa usingesema anayetaka kumiliki ....maana kumiliki kitu nikukinunua sema anayetaka kupanga KWENYE shule au kuingia share holder
 
Ushauri wa bure afanye chuo cha kitoe certificate na diploma na kozi ziwe afya, na elimu atakuja nishukuru badae
 
Sure. Na ukuangalia hiyo biashara mwenyew imesha mshinda anategemea kufanya wengine misukule ye ale kwa mteremko[emoji23][emoji23]. Hakuna atakae kubali maybe awaze upya
 
Duh, nikuendeshee kila kitu nikupe 40% , mbona kama biashara kichaa..halafu kichwa cha habari kilipaswa kiwe kupangisha na sio kumiliki, unajua maana ya kumiliki wewe?
 
Upo sahihi aisee English medium ni mpango mzuri
 
Hapo sijaelewa vizuri. Mwenye shule anatoa operation costs? Au mm ndio nawekeza mtaji wangu hapo.
 
Or turn it into vocational college under NACTE .. Health and allied sciences college, offering certificate/diploma level in nursing, laboratory tech, pharmacy etc .. I see the mentioned infrastructure suits well with such courses.
I second you boss
 
Kuna shule moja ya KKT walishindwa kuiendesha kutokana na ukosefu wa wanafunzi, wakaamua wampatie mwamba mmoja mwalimu mstaafu aisimamishe hiyo shule kwa makubaliano ya mkataba.

Alichofanya yule mzee ni kutafuta vijana wa kazi, aliofanya nao kazi zamani; akaanza kutoa matangazo mkoa kwa mkoa, wilaya kwa wilaya n.k, watu wakakabiziwa fomu iwe kwa mwalimu, mwanakijiji, vijana n.k, na ela ya fomu ilikuwa inabaki kwa mwenye fomu.

Watu wakawa wanakimbilia fomu na kuuza ili wapate hela, baada ya muda mfupi shule ilisimama, wanafunzi wakawepo wa kutosha.

KKT baada ya kuona hivyo, wakaanzisha mizwenge ya kutaka shule yao, baada ya mgogoro kuwa mrefu, wakaachiwa shule, na kwa sasa shule ilishakufa.​
 
Lkn si mnaandikishana mkataba.
 
Ndio shida ya wabongo, mtu anakukosidishia eneo kwa maelewano kabisa ili uuze bidhaa fulani, ukifanikiwa anaingiwa na wivu wa kutaka aifanye yeye hiyo biashara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…