GTA
JF-Expert Member
- Jul 25, 2013
- 878
- 651
Peter Msechu ndiye Mwanamziki wenye uzito mkubwa, yeye wenyewe anaonekana kufulaishwa na umbo lake (BIG), Sasa msanii huyo ameandamwa na watu kuwa afanye mazoezi makali ili apungue na yeye kusema kuwa anayetaka nipungue aweke Mtonyo mezani tufanye Biashara-: Peter Msechu
Unaweza play kusikiliza akifunguka zaidi