Shida Yenu unatoa mifano ya Liverpool wakati hata ujui kwa nini Liverpool haijasajili.
Ulishaona timu za ulaya ziko busy na usajili msimu huu wa dirisha dogo.
Haziwezi kua kusajili sio kwa sababu hawana uhitaji ila saizi timu nyingi za ulaya hazina pesa ya kusajili.
Mi nimekupa maelezo ya simba kwa sababu Ndio ulioitaja hata kama ukutaja jina. Umesema timu imeingia group stage na timu nyingine inaenda kucheza group stage na timu mpya na kocha mpya, sasa kwa hapa Tz ni timu gani imefanya hivyo kama sio simba?
Mi ningewalaumu simba kama kile kikosi kilichokuwepo wangekivunja na kuleta kingine sawa, wamefanya kuboresha kikosi.
Issue ya covid tusiichulie masihala kama bongo tunavyoichukulia. Kuna timu round iliyopita haikumaliza round ya pili kwa sababu Wachezaji wake 11 walikua na covid.