Anayetishia Ujio wa Lissu Tanzania ajulikana. Ni Afisa wa Polisi wa Kike Julius Nyerere International Airport (JNIA)

Kama Mh. Lissu alishwahi kusema anawajua, aliwaona baadhi yao...haya mengine ni Mazingaombwe na yasipewe uzito wowote. Subirini kesi!
 
Ndugu zetu wa jinsia nyingine na mihemko ni damdam. Tunapata funzo kuwa kila kitu siyo cha kushabikia kasagiwa kunguni mpaka sasa kafunga simu hapatikani hewani.
 
Huyu Binti Joyce Gewe,lazima atakuwa mtoto wa Alfred Gewe aliyewahi kuwa RPC,Hawa wamepata kazi kwa kubebwa tu,wapo pale kula mshahara tu,hawana weledi wowote,maana elimu yenyewe ni form 4 div 4
 
Kwa nini polisi atamke hayo maneno kwa mwanasiasa??
 
Na chochote kitakachomtokea huyo binti mnayemzushia huu ujinga mtakuwa wahusika hapa na mbinguni pia. Wajinga sana nyie mijitu mizima mnahangaika na kisichana kidogo. Na hii ni laaana ya chuki ya wale 19
Hakuna laana kama kiongozi wa nchi kushindwa nikukemea na kufanyia uchunguzi matukio ya utekwaji na maiti kuokotwa baharini na watu kupigwa risasi bila ya hatua zozote kuchukuliwa.
 
Mtoto wa kike anaitishia chadema,kweli makamanda mme rainiki
 
Sheria zipo na zinatumika. Wewe ulitambua hizo maiti ni za nani?
Kufanyia uchunguzi maiti zinazookotwa baharini ni lini serikali ilifanyia uchunguzi hilo?

Kupotea kwa Ben saanane na kuuliwaa kwa mwandishi wa habar azron gwanda( samahan kama nimekosea spelling ya jina lake).
Jee serikali iichukuahatua gani?

Hebu kama mnaona upande wapili wa mamlaka unawabeba kwa kujichukulia sheria mikononi msione watu wappumbavu pale wanappotishiwa maisha yao.

Ipo siku hayo yatawafika.
 
Tatizo watanzania ni watu wa Amani sana, ila Alshababu na vikundi vingine VYA Kigaidi walikiwa kama sisi mwanzoni .

Haya mambo yasipo angaliwa tutafika siku moja panapotakiwa
 
Inawezekana Dada ana sauti na Lafudhi kali kama ya Okello Baba wa Taifa wa Zanzibar ....ametumika tu kufikisha ujumbe lakini hayumo kwenye njama au mipango .....bwahaaa
 
Mzaha kwenye issue ngumu za kisiasa nchini
Mbona kuna ishu ngumu tu za kisiasa humu JF huwa zinaongelewa wakati mwingine kwa tafsida au kimzaha hivi......ndo maana wakati mwingine inabidi ujiongeze au uwe na uwezo kuvunja codes. Ni sawa na kusikia shabiki wa mpira akisema tunachinja mtu leo, hiyo haiashirii kwamba ni muuaji ila kaongea kwa muktadha wa ushabiki au utani........​
 
Je, kama alisema hayo akimaanisha 'wanaye' kwa Usalama wake mtabisha pia? Mpelekeni mahakamani basi tuone kama kuna mshiko wowote ule. Wacheni kuchafua watu wasiokuwa na hili wala lile.

Makaburi yatafukuliwa, bahari maziwa mito na visima vitakaushwa, Mawe yatarudishwa milimani, kujua Ukweli.

Chagueni kwa Uangalifu, piga Kura yako kwa Uangalifu 2025 ...

kwa yanayojiri, inawezekana hata Mkuu M. Melo anafikiria Sheria ya Mitandaoni mara mbili mbili. Muda ni Mhukumu mzuri.
 

hizo ni cheap polits siasa za kijinga sana na only watu wajinga kama ww ndio mnaingizwa kwenye hiyo mitego ya wajinga

watu wote tanzania waliopata madhara ya kupigwa risasi na watu wasiojulikana serika ilikama hao watu? who is tundu lissu? why jambo lake unaweka mbele kama yy ni mtu maalum?

umesahau watu walipigwa na walikufa mtwara? zilipigwa risasi na mabomu mpaka leo watu vilema? why you dont say anything about them?

hivi kwa akili yako serikali ikitaka kumuua lissu watashindwa? si wanapiga bomu tu nyumbani kwake?

unataka kufanya lisu kama ni kiumbe pekee cha kupewa uangalizi pekee for what?

acha ujinga
 
Kwa hiyo unadhani maridhiano ni kwa sababu CHADEMA mnaogopwa? Ndiyo mnavyodhani?
Hiyo dhana ya kuogopana ni ya wendawazimu, ni major partner katika mustakabali wa siasa za hapa nchini. Kama unataka kwenda mbele huwezi kuvichukua vyama pandikizi bali mdau halisi ambaye ni CHADEMA
 
Kwa hiyo upuuzi aliousema huyo askari unataka wenye akili waone ni mzaha?
Kwenu wenye akili za hovyo mnaweza kutuambia hata Lissu kushambuliwa ilikuwa ni mzaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…