Anayetishia Ujio wa Lissu Tanzania ajulikana. Ni Afisa wa Polisi wa Kike Julius Nyerere International Airport (JNIA)

Kwa hiyo upuuzi aliousema huyo askari unataka wenye akili waone ni mzaha?
Kwenu wenye akili za hovyo mnaweza kutuambia hata Lissu kushambuliwa ilikuwa ni mzaha
Ndo maana nikasema inabidi muktadha utafutwe kwenye hayo maongezi, vinginevyo unaweza ukajikuta unatumia rungu kuua mbu.
 
Unadhani bila kufuatilia watesi cdm otatoboa?Huyu Mtoto wa Mstaafu Gewe unadhani ajala yamini kufanya yale?
Kwa uovu wake, huyu shetani binti atatangulia kabla ya Lisu. Kwa ujinga, akiona kuna MSG amezipanga, anaona kama Ulimwengu wote ni wake, na amepewa madaraka ya nani aishi na nani aondoke.

Mwenzie alikuwa mkuu wa vyombo vyote vilivyopo na zana zote, akataka kumwangamiza mtu asiye hata na manati. Alichofanikiwa ni kumwachia ulemavu lakini siyo kuondoa roho yake. Aliyetaka kumtanguliza, akatangulia yeye.
 
CCM ni ukoo wa panya—babu mwizi, baba mwizi, watoto wezi, wajukuu wezi, vitukuu wezi, vilembwe wezi na vining’ina wezi! Ukoo huu wa panya walikuwa wanasafiri katika boti la muhogo, lakini kwa sababu ya uroho wao, walianza kulitafuna boti! Kilichofuata ni ukoo mzima wa kizazi cha panya kuzama na kuangamia.

CCM wameanza kuitafuna nchi tangu mwaka 1961 lakini ukomo wao wa kutafuna rasilimali za nchi zitafika tamati hivi punde kwani hakuna mtanzania mwenye hamu ya kuongozwa na chama cha kifisadi kama CCM ambacho kimeshindwa kuboresha maisha na ustawi wa watanzania. Wananchi wamechoka kubebeshwa ‘magunia ya misumari’ ya bei ya juu ya chakula, mfumuko wa bei wa kutisha, elimu duni, maisha duni, ufisadi wa kutisha na matatizo lukuki yanayosababishwa na panya (CCM) hawa wasiokuwa na haya! Kizazi kizima cha CCM kinakaribia kuzama na kusahaulika kabisa katika ardhi ya Tanzania.

It’s a matter of time before CCM dynasty comes to an end, and that’s when these unscrupulous rats will apprehend the significance and power of the people. Desolately, CCM have been ignoring and looking down their noses at common Tanzanians for many years. Time has now come when citizens can no longer endure CCM’s tyranny and corrupt rule. Everybody is tired of living like a slave on a land endowed with an assortment of natural wealth which only benefits minority fisadis and a few elites in power while majority Tanzanians lead very miserable lives.

What comes around goes around. Let CCM go to hell for good because they have absolutely failed to uplift the living standards of millions of Tanzanians at the expense of a few fisadis whose gargantuan stomachs never fill up! And no one should be blamed for the hatred and grudge that majority people hold against CCM and their crooked government except fisadis themselves who, horrifically, decided to gnaw the cassava boat by which they were sailing!
 
Na chochote kitakachomtokea huyo binti mnayemzushia huu ujinga mtakuwa wahusika hapa na mbinguni pia. Wajinga sana nyie mijitu mizima mnahangaika na kisichana kidogo. Na hii ni laaana ya chuki ya wale 19
Hicho kisichana kina umri gani? Kwani kuwa muuaji ni lazima kiwe na umri gani?
 
Wekeni picha tumuone huyo askari wa kike.
 
Acheni kutengeneza tension isokuwapo,

Hapo yanalengwa mapokezi yajaze watu,

Si jambo baya,

Bt wananchi wasidanganywe, hakipo kitisho hicho mnachojaribu waaminisha watu.
Huyu anayesema wataendeleza pale walipoachia dhidi ya Lisu, alistahili kukamatwa mara moja maana anadhihirisha kuwa alikuwa miongoni mwa watekelezaji wa shambulio dhidi ya Lisu.
 
Hivi unaamini kwamba kila kitu suluhisho huwa ni mahakamani? Fikiria kuna nchi, mpaka Rais huwa anaondolewa madarakani bila ya kupelekwa mahakamani.

Mahakama ni sehemu ndogo sana ya suluhisho la migogoro.
 
Kwa hiyo wewe unaona ni sahihi watu kuuawa, na mambo yakapita tu!

Ninyi wauaji, inapofika zamu yenu huwa mnageuka na kutaka huruma. Kama unaona kufa binadamu mwenzako ni sawa, bqsi iwe sawa pia kwako.
 
Na chochote kitakachomtokea huyo binti mnayemzushia huu ujinga mtakuwa wahusika hapa na mbinguni pia. Wajinga sana nyie mijitu mizima mnahangaika na kisichana kidogo. Na hii ni laaana ya chuki ya wale 19
Likimapata lolote lisu huyu aombe isitokee tutamtafuta mpaka chini ya bahari.
 
Hiki ni kitendo cha ajabu sana wanachotaka kukifanya CCM kupitia huyo poliCCM. Mungu atawashughulikia wote mnaopanga njama za kumuua Lissu kwa mara ya pili. Ikiwa dikteta aliyepanga kumuua Mungu amemshughulikia kwa namna ya kipekee, sidhani kama hawa MACHAWA wa sasa wataweza. Wao wana shetani, CHADEMA wanasimama na Mungu. Na tukumbuke Mungu hashindwi na wala hajawahi kudhihakiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…