Anayetishia Ujio wa Lissu Tanzania ajulikana. Ni Afisa wa Polisi wa Kike Julius Nyerere International Airport (JNIA)

Kwa hiyo wewe unaona ni sahihi watu kuuawa, na mambo yakapita tu!

Ninyi wauaji, inapofika zamu yenu huwa mnageuka na kutaka huruma. Kama unaona kufa binadamu mwenzako ni sawa, bqsi iwe sawa pia kwako.

Sasa tuache malalamiko ya kumuona lisu ni kama special cases


Hayo matukio yapo mengi sana
 
Wewe umebadilisja mazingira yapi?
 
Tunaye Ina maanisha ya tunae ile ya tukio lililomkuta
 
Simple tu hapo OCS airport akidakwa tu wahusika wote hadharani
 
Humu JF kuna watu mnaujinga umepitiliza! Hilo suala la huyo polisi lini umeona tamko la chama? Sasa unakihusishaje chama na kauli za baadhi ya wanachama kujusiana na mawazo yao juu ya mhalifu hata kama mhalifu huyo ni mtumishi wa dola?
Huu ni ujinga. Wanachama na wafuasi wa CCM always wanajadili mambo ya kijinga sana kama ndoa za Zuchu, Ndoa za Manara nk badala ya mfumuko wa bei, gharama za maisha na ufisadi lakini hakuna aliyeituhumu CCM kuwa mijadala hiyo ni yake!
Subirini tamko la chama, na kuhusu ajenda za mikutano nenda kasikilize ili ikutoe kwenye undezi

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Yaani Hawa wamekosa kazi. Labda kama Wana mwendelezo wa chat vinginevyo wanapoteza mda
 
Mtu kuanza kujihoji na kujishuku, mpaka itumike lugha sanifu kujiweka sawa kiakili?

Lugha za mtaani haziwezi kukuamshia ubongo wako katika kutafakari jambo na kuchukua hatua au tahadhari?

Maana hapa haijaongelewa kesi wala nini ujue!

Labda mkuu tukuulize hii kauli ya: "akirudi tunaye", ikawa inakuongelea wewe unayesafiri ndani ya basi na mawasiliano hayo umeyanasa yakifanywa na mapolisi, waweza ukaitafsirije hali utakayoipata stand baada ya kuwasili?

Hauwezi ukateremkia njiani ili kujihami na mabalaa yanayoweza kuepukika?
 
Huyo dada askari ni wa kumsamehe tu buree, (mitandao huwa na mengi yakiwamo ya kutaniana na mengi tu ya kimasihara kwani tukumbuke askari ni mwanadamu, hivyo kazi yake isimuhukumu aidha kumuondoa kwenye kundi la ubinadamu)
NAOMBA ASIWEKEWE UMUHIMU MKUBWA KATIKA VICHWA VYETU NA VIONGOZI WAKE.
 
Hiyo kauli ina uzito wa kutosha kuweza kuwafanya mpate mada ya kujadili huku mitandaoni. Vinginevyo sikilizeni wanaompa amri huyo mtoa kauli wamewahakikishia nini.
 
Huyu anayesema wataendeleza pale walipoachia dhidi ya Lisu, alistahili kukamatwa mara moja maana anadhihirisha kuwa alikuwa miongoni mwa watekelezaji wa shambulio dhidi ya Lisu.
Mpuuzi apuuzwe na ashughulikiwe sawasawa na matakwa ya SHERIA,

Bt Hana threat yote Kwa Lissu.
 
Mkuu umesema kweli wanachama wa ccm ambao wengi ndio watu masikini ukikuta wanayojadili unasikitidka sana.
.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…