JITU LA MIRABA MINNE
JF-Expert Member
- Mar 28, 2015
- 726
- 476
Bei yakeBomshery victoria secret
Hiyo kuruthum mi naona inwafaa watoto wakike tu cjui kwa wengine wanaonajeNahitaj kujua pafyumu zingine zinazoizidi ubora na uromantic wa hii kuruthumu binafsi siifahamu sijawah kutumia naomba uzofu toka kwenu wazee wa baraza
Check perfumes zanye akili hapa;_Nahitaj kujua pafyumu zingine zinazoizidi ubora na uromantic wa hii kuruthumu binafsi siifahamu sijawah kutumia naomba uzofu toka kwenu wazee wa baraza
Daaah watu kwa kujiongezaaaWewe umeagizwa Kuluthumu unataka kubadilisha, je kama kaagizwa na mganga?