Anayetumia pafyumu/manukato romantic inayobamba watu anitonye shemej yenu ameniagiza nimpelekee kuruthumu tu

Anayetumia pafyumu/manukato romantic inayobamba watu anitonye shemej yenu ameniagiza nimpelekee kuruthumu tu

Kuna Dark fever, ila ukitaka akukubali zaid mchukulie perfume iitwayo Feepings by Rasasi [emoji91]
 
Hamna perfume mbaya dunia kama hiyo kulthum utasema unafukuza Majin.

angalia options nyingine zipo nyingi nzuri kama Fiesta, lavie est Bella.......
 
Kuna kipindi kuna mixer fulan nilikuwa naifanya kiasili Mimi ni mpenzi sana wa kunukia vizuri kuna cologne fulani ya lovelia nilikuwa na mix na eau perfume kwakweli sikumbuki jina plus body spry ya knowledge weeeee ilikuwa kila nikipita wananiuliza ni perfume gani hiyo wakanunue. Niliwapa formula...siku hizi sina mambo mengi Niko na nivea deodorant plus knowledge perfume mambo yanaenda basi Nikishajispry napiga na kahawa yangu hiyo stimu utadhan nina pesa mno kumbe...siri ni yetu na Mungu... .usiogope adventure ya kuchanganya changanya manukato kuyatengenezea cocktail...ni nzuri sana....
 
Hii kuluthum si ndo zile wanazouza nje ya misikiti?unakuta mwanzo wa mtaa mpaka mwisho wa mtaa unanukia i swear ukiinunua akaanza kuitumia jua hutokaa upone mafua.

Na akipanda daladala akishuka abiria wote mafua.
 
Back
Top Bottom