Kuna kipindi kuna mixer fulan nilikuwa naifanya kiasili Mimi ni mpenzi sana wa kunukia vizuri kuna cologne fulani ya lovelia nilikuwa na mix na eau perfume kwakweli sikumbuki jina plus body spry ya knowledge weeeee ilikuwa kila nikipita wananiuliza ni perfume gani hiyo wakanunue. Niliwapa formula...siku hizi sina mambo mengi Niko na nivea deodorant plus knowledge perfume mambo yanaenda basi Nikishajispry napiga na kahawa yangu hiyo stimu utadhan nina pesa mno kumbe...siri ni yetu na Mungu... .usiogope adventure ya kuchanganya changanya manukato kuyatengenezea cocktail...ni nzuri sana....