Anayetumia passo ya piston 3(au fundi/mjuzi yeyote) tafadhali nisaidia ubora wake na udhaifu wake

Anayetumia passo ya piston 3(au fundi/mjuzi yeyote) tafadhali nisaidia ubora wake na udhaifu wake

Tukiacha na maswala ya barabara mbovu, Gari ya Injini ndogo shida yake ni kua hakataki misele mingi, labda iwe misele ya hapa na pale sio ruti ndefu. Ukikapiga misele ya mikoani ruti ndefu hakata himili.
 
Lakini naona vinasoko sana sijui watu wamegundua nini tofauti na mafuta ulaji wake

Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua,gari zote zinatengenezwa kwa standard flani,when we are talking about gari ndogo,means hata nguvu itakua ndogo....sasa umechukua Passo unaipitisha kwenye rough Road kila siku,safari za Dar to Mbeya haziishi,lazima kafe tu,hizi gari zilikua designed for town movement,lami kwa lami.....ila mi nachopendea sina gharama ya mafuta,service nikiea na elfu 34 tu nafanya kila kitu,vifaa bei rahisi,siku gear box ikizingua unapata used Ilala kwa laki tatu tu....nikiwa nimechacha wikend naingiza zangu Uber napata pesa ya kutumia matumizi madogo madogo,ila usipokua mtunzaji na mtu unaezingatia service katakutesa na mabarabara yetu haya utajuta!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mi ninayo Passo toka 2015,nipo nako hadi leo,ila kangu kana gonga sana miguu ya mbele,niliacha kitengenenza maana nakaa makorongoni nakaumiza we acha tu,...vigari vidogo shida sana,nikimaliza mkopo tu nakauza
Maana nilichukua mkopo sehemu nikaweka kwenyewe ndio dhamana
Hujapata fundi mzuri, me nshamaliza hilo tatizo mwaka wa tatu huu cha msingi funga japanese parts pia stearing rack kaufanyie operation jamaa wanatoa plastic flan ivi wana chongea mipira niko nacho tanga ndani huku mwak wa 4 sasa no problem kila wiki natembea zaidi ya km 250rough road na iko poa nshawah badili shockups na ball joints mara moja tu
 
Ki-ukweli Carina ni gari ngumu .Ni gari inayovumilia shida .Ni gari ya watu wenye kipato cha chini. Gharama za kuitunza ni za chini kabisa.

Labda changamoto ni kuwa gari hii imekuwa ya kizamani sasa. Na nyie vijana mnapenda kwenda na wakati.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiona gari anaipenda muhindi nunua, wale ndio wachaga weupe!
 
Kuna mchizi hua ana comment kwny hii section ya magari hapa jf anaitwa Jimmy Gatsby hua anayo hio gari nadhani anaweza kutoa uzoefu wake.
Ntamcheki maana kale kagari bhana sijawahi kaelewa ila kana cc kama za suzuki
 
Hujapata fundi mzuri, me nshamaliza hilo tatizo mwaka wa tatu huu cha msingi funga japanese parts pia stearing rack kaufanyie operation jamaa wanatoa plastic flan ivi wana chongea mipira niko nacho tanga ndani huku mwak wa 4 sasa no problem kila wiki natembea zaidi ya km 250rough road na iko poa nshawah badili shockups na ball joints mara moja tu
Mkuu umeongea vyema sana gari lolote ni zuri tu as long as una fundi mzuri, kuna watu wana gari zenye engine ambazo kwa wengi zinaonekana kimeo ila siri yao ni kuwa wana mafundi wazuriii so gari hata lizingue nini anajua fundi mzuri yupo.
 
Vp hii passo haya maandishi ya 1.3 TWIN CAM ina pistoni ngapi?
IMG_20190521_150520.jpeg
 
Back
Top Bottom