kantalambaz
JF-Expert Member
- Dec 24, 2017
- 1,878
- 887
Cc ndogo ni gani?The golden amejibu vema... Epuka gari yenye cc ndogo maranyingi sio imara... Kama unataka gari yenye cc ndogo basi opt Suzuki Gypsy, Jimmy au Samurai na kwenye Toyota opt Duet
Jr[emoji769]
Unajua,gari zote zinatengenezwa kwa standard flani,when we are talking about gari ndogo,means hata nguvu itakua ndogo....sasa umechukua Passo unaipitisha kwenye rough Road kila siku,safari za Dar to Mbeya haziishi,lazima kafe tu,hizi gari zilikua designed for town movement,lami kwa lami.....ila mi nachopendea sina gharama ya mafuta,service nikiea na elfu 34 tu nafanya kila kitu,vifaa bei rahisi,siku gear box ikizingua unapata used Ilala kwa laki tatu tu....nikiwa nimechacha wikend naingiza zangu Uber napata pesa ya kutumia matumizi madogo madogo,ila usipokua mtunzaji na mtu unaezingatia service katakutesa na mabarabara yetu haya utajuta!Lakini naona vinasoko sana sijui watu wamegundua nini tofauti na mafuta ulaji wake
Sent using Jamii Forums mobile app
Engine capacity
Hujapata fundi mzuri, me nshamaliza hilo tatizo mwaka wa tatu huu cha msingi funga japanese parts pia stearing rack kaufanyie operation jamaa wanatoa plastic flan ivi wana chongea mipira niko nacho tanga ndani huku mwak wa 4 sasa no problem kila wiki natembea zaidi ya km 250rough road na iko poa nshawah badili shockups na ball joints mara moja tumi ninayo Passo toka 2015,nipo nako hadi leo,ila kangu kana gonga sana miguu ya mbele,niliacha kitengenenza maana nakaa makorongoni nakaumiza we acha tu,...vigari vidogo shida sana,nikimaliza mkopo tu nakauza
Maana nilichukua mkopo sehemu nikaweka kwenyewe ndio dhamana
Ukiona gari anaipenda muhindi nunua, wale ndio wachaga weupe!Ki-ukweli Carina ni gari ngumu .Ni gari inayovumilia shida .Ni gari ya watu wenye kipato cha chini. Gharama za kuitunza ni za chini kabisa.
Labda changamoto ni kuwa gari hii imekuwa ya kizamani sasa. Na nyie vijana mnapenda kwenda na wakati.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi cami ni gari imara kweli?650 cc (Toyota Cami), 990 Passoe.t.c
Mimi nilimuuzia mhindi mazda rx 8,mi ntakua muhindi mweusi mkuu hahah.Ukiona gari anaipenda muhindi nunua, wale ndio wachaga weupe!
πππ haha kweli we muhindi mweusi mkuuMimi nilimuuzia mhindi mazda rx 8,mi ntakua muhindi mweusi mkuu hahah.
Mkuu umeongea vyema sana gari lolote ni zuri tu as long as una fundi mzuri, kuna watu wana gari zenye engine ambazo kwa wengi zinaonekana kimeo ila siri yao ni kuwa wana mafundi wazuriii so gari hata lizingue nini anajua fundi mzuri yupo.Hujapata fundi mzuri, me nshamaliza hilo tatizo mwaka wa tatu huu cha msingi funga japanese parts pia stearing rack kaufanyie operation jamaa wanatoa plastic flan ivi wana chongea mipira niko nacho tanga ndani huku mwak wa 4 sasa no problem kila wiki natembea zaidi ya km 250rough road na iko poa nshawah badili shockups na ball joints mara moja tu
Mjini kutokea wapi??au unahisi kila mtu kapanga ulikopanga wewe?Chukua toyota carina.gar nzur na inanusa mafuta.elf5 unafika mjin
Sent using Jamii Forums mobile app
Piston 4.Vp hii passo haya maandishi ya 1.3 TWIN CAM ina pistoni ngapi? View attachment 1176656