utaifakwanza
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 14,193
- 2,813
Habari wanajukwaa.
kwa muda mrefu sasa kumekuwa na sintofahamu kutoka mitandao ya simu hapa nchini ambapo mawasiliano ya watumiaji wa simu yamekuwa yakianikwa hadharani bila ridhaa yao..
kazi hii inafanywa na CHADEMA kwa kumtumia mtaalamu wa IT wa kampuni ya TIGO anayeitwa CARLOS ROBETO ROSALES maarufu kwa kifupi rosa anayetumia simu NO. (tumehifadhi) EMAIL
(Tumehifadhi)
Chadema inawatumia watu kadhaa kwenye makampuni ya simu akiwemo Rosales/rosa wa Tigo na inamlipa fedha nyingi kwa kazi hiyo na taarifa anazozitoa huongezwa chumvi kwa maslahi ya kisiasa..
Mimi mzalendo kwa nchi yangu na ambaye naipenda chadema yangu, nimechoshwa na tabia hii, nimewasihi viongozi wenzangu ndani ya chama kuacha tabia hii ya kuwapaka watu matope kwa kutumia mawasiliano ya simu na kuyakoleza chumvi lakini hatusikilizwi matokeo yake hiki kitu kimeendelea kujirudia mara kadhaa.Ni bora sasa umma ulijue hili.
Naomba mamlaka zinazohusika zimfuatilie Rosales na kuangalia kama anastahili kuendelea kuwepo hapa nchini na kama sio tishio kwa usalama na umoja wa nchi yetu na watumiaji wa simu watahadharishwe juu ya kukosekana uaminifu kwa wamiliki wa mitandao ya mawasiliano hasa TIGO.. Tunayo mawasiliano ya email kati ya Rosales, na moja ya viongozi waandamizi wa chadema, na DR SLAA ambayo kwa sasa hatuyaweki hapa.
huyu mzungu ndio Rosales.
View attachment 93564