Anayetumiwa na CHADEMA kuvujisha SIRI za wateja wa TIGO huyu hapa

Anayetumiwa na CHADEMA kuvujisha SIRI za wateja wa TIGO huyu hapa

Status
Not open for further replies.
Kuna kitu kinaitwa data protection act sijui kama huko nyumbani kipo.
Mkuu udukuzi wa mawasiliano hauruhusiwi hata hapa Tanzania. Ni kosa la jinai kufanya hivyo. Nadhani Polisi wataruka na huyo Rosa ili wacheze naye ngoma.

Mkuu kizazichadotcom hivi huyu Rosa ni Mswahili ama Mkoloni (Mzungu)?
 
Last edited by a moderator:
We mwongo. Mwanachadema anayeipenda chadema yake hawezi kuandika habari Kama hiyo ya kumchafua katibu mkuu wa chama chake, na kuahidi kuanika zaidi. Huo uongo tu unaifanya hadithi yako ikose credibility.
 
Kuna kitu kinaitwa data protection act sijui kama huko nyumbani kipo.

Tofautisha kati ya Data Protection Act (DPA) na Majangili Protection Act (MPA)...Kama TISS haihusiki na tuhuma za kuwa ng'oa watu kucha na meno, kwanini wanaweweseka?...
 
hivi sheria inasemaje kwa wageni wanaofanya kazi nchini wanapoonekana kutishia usalama wa nchi husika
 
Source / Evidence? Unazijua vizuri Sheria za Huu mtandao?
 
Nadhani mods wamejiridhisha kama huyu mtu anao ushahidi kweli na si kuchafuana!
 
hivi sheria inasemaje kwa wageni wanaofanya kazi nchini wanapoonekana kutishia usalama wa nchi husika

Nenda mahakamani. Singo ya Lwakatale imewashinda sasa mnaleta pumba nyingine.
 
MwanaChadema aliyehadhirika na tatizo hili ni nani?
A%20S-smoking.gif
 
chadema hakiwatendei haki wananchi kwa kuingilia mawasiliano yao
Sure mkuu. Kwa sasa watu wataacha kuwasiliana kwa uhuru na wapenzi wao maana kwa jinsi nimjuavyo dr slaa atanogewa na ataanza kufuatilia kwa tamaa zake za kimapenzi. Babubwana wala hachoki. Au ndo analipiza ujana wake alioupoteza kwa kuwa padri
 
Kwa jinsi ulivyotaja details zake, hana muda mrefu atakimbia nchi kabla ya kufukuzwa!
 
Acha ujinga wewe angalia usije pumuliwa kisogoni wewe chadema inapigania haki ya wanyonge mbona kama unarukwa akili kenge wewe
Wanyonge gani hao mnaofuatilia mawasiliano yao hata wanapowasiliana na wapenzi wao
 
Tumekusikia tunazifanyia kazi taarifa zako kwa kuwa contact zako tumezipata nadhani tutakupigia kwa ufafanuzi zaidi wa ana kwa ana
 
Kwa jinsi ulivyotaja details zake, hana muda mrefu atakimbia nchi kabla ya kufukuzwa!
Huyu mzungu baona anatumiwa na mataifa ya nje. Kwa dr slaa ni kupitia tu maana chadema pia hutumiwa na mataifa adui
 
Du, mnawaboa mpaka wazungu, kweli magamba mnachukiwa kwelikweli.
 
ACHENI USHAMBA SASA HATA KAMA ANATOA SIRI WEWE UNAONA UBAYA GANI AU UBAYA TZ KUPATA UKWELI WA MAWASILIANO MACHAFU YA MABOSI WAKO WA CCM..UBAYA WA CDM NI NINI HAPO KUPATA SIRI CHAFU!?EMBU WEKA REF 1 YA DATA ZILIZOPIKWA NA KAMA ZINAPIKWA KWA NINI SASA ATUMIKE HUYO MZUNGU!?UNALALAMIKA KWA KUWA ANATOA DATA ZA MABOSI WAKO AU MMETAKA AWAPE DATA AMEWATOSA SASA KAMA KAWA MNAMPANDIKIZIA TUHUMA ZA ugaidi KAMA KAWAIDA YENU

PRIVACY IPO LAKINI AS LONG AS HAJANG'OLEWA KUCHA KUTOA HAYO MAELEZO BASI KAYATOA KWA MOYO WAKE NA KWA NIA NJEMA KWA WATANZANIA...NDIO MAANA YA POLISI JAMII..TATIZO AMEAONA AKIWAAMBIA POLICCM HAWATAFANYIA HAKI HIZO TAARIFA...
NA KWA TAARIFA YAKO HATA CUSTOMER SERVICE WANAWEZA KUONA MAELEZO NA TAARIFA NA RECORDS ZA WATEJA....SO POPOTE DATA ZINAWEZA KUPATIKANA.....!!!!!!HATA KAMA WAMEWASILIANA NA SLAA KUPEAWA TAARIFA ZA UBAYA WA CCM NA MIPANGO YAO MICHAFU WEWE KINAKUKERA NINI KAMA UNAITAKIA NCHI HII MEMA...NAKUULIZA TENA NINI KINAKUUMA WEWE PUMBAVU WEWE...PUMBAVU KABISA WEWE:angry:
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom