Mkuu udukuzi wa mawasiliano hauruhusiwi hata hapa Tanzania. Ni kosa la jinai kufanya hivyo. Nadhani Polisi wataruka na huyo Rosa ili wacheze naye ngoma.Kuna kitu kinaitwa data protection act sijui kama huko nyumbani kipo.
chadema hakiwatendei haki wananchi kwa kuingilia mawasiliano yao
Kuna kitu kinaitwa data protection act sijui kama huko nyumbani kipo.
Data za kungoa kucha, meno na macho. unataka ziwe protected? itakuwa nchi ya vichaa.Kuna kitu kinaitwa data protection act sijui kama huko nyumbani kipo.
hivi sheria inasemaje kwa wageni wanaofanya kazi nchini wanapoonekana kutishia usalama wa nchi husika
Kuna kitu kinaitwa data protection act sijui kama huko nyumbani kipo.
Sure mkuu. Kwa sasa watu wataacha kuwasiliana kwa uhuru na wapenzi wao maana kwa jinsi nimjuavyo dr slaa atanogewa na ataanza kufuatilia kwa tamaa zake za kimapenzi. Babubwana wala hachoki. Au ndo analipiza ujana wake alioupoteza kwa kuwa padrichadema hakiwatendei haki wananchi kwa kuingilia mawasiliano yao
Wanyonge gani hao mnaofuatilia mawasiliano yao hata wanapowasiliana na wapenzi waoAcha ujinga wewe angalia usije pumuliwa kisogoni wewe chadema inapigania haki ya wanyonge mbona kama unarukwa akili kenge wewe
Kwa jinsi ulivyotaja details zake, hana muda mrefu atakimbia nchi kabla ya kufukuzwa!
Huyu mzungu baona anatumiwa na mataifa ya nje. Kwa dr slaa ni kupitia tu maana chadema pia hutumiwa na mataifa aduiKwa jinsi ulivyotaja details zake, hana muda mrefu atakimbia nchi kabla ya kufukuzwa!