Anayetumiwa na CHADEMA kuvujisha SIRI za wateja wa TIGO huyu hapa

Status
Not open for further replies.
chadema wanaliharibu taifa

oooh really...CCM wanaijenga Taifa? Since when? Mbona madini yanachotwa bure bure, Mbona baharini meli zinajivulia kimya kimya? Mbona watoto wanafeli sana?...Go to hell Serukamba...
 
Hata wewe mleta mada umetumia information za mtu kinyume na sheria. Una uhakika na ulichoaandika? Kwa nini usimpeleke kwenye vyombo vya dola? Hujui kazi wewe new recruit wa magamba.
 

Sasa hapa umeongea nini?
 
Acha kuchanganya madesa wewe, tupe hayo mawasiliano hapa? Mwigulu anazidi kuchanganyikiwa, kafungu na ID mpya akidhani watanzania ni wajinga kiasi hicho. Ujinga mwingine, hivi huyo mtu hana haki ya kuwasiliana na Dr Slaa?
 
Inatuuma sana maana wengine tumepoteza kazi kutokana na upuuzi wa mtu mmoja tu
 
hii sasa iwafundishe chadema kufanya siasa za kistaarabu, kuwatumia watu wa makampuni kuhujumu wananchi wasio na hatia kufatilia mawasiliano yao ni usaliti mkubwa

Kama una hoja ya msingi andika kisha usubiri uone kama itajibiwa, unaweka vipost vingi ili tuseme kwamba watu wengi wamejibu kumbe ni mtu mmoja najirudia rudia, tuliza papara hata kama umetumwa na unalipwa kwa kufanya hivi lazima boss wako atakuwa anakuona kama kicheche tu!
 
Afukuzwe kwa ugomvi binafsi? we vipi?

Issue kama hii kaka sio private ni public. Na kwa taarifa ni kwamba kwa nchi ambazo ziko serious, huyu jamaa alitakiwa awe under arrest. Rejea scandal ya News of the World iliyopelekea hiyo kampun yenyewe kufungwa.

Hii ni hatari hata kwa TIGO yenyewe as a company, wateja watawakimbia!
 
Polisi yetu inaweza akimkamata huyu mtu na kumfungulia mashitaka ya ugaidi. Subirini muone, maana ushahidi wao uwa wanauchukua hapa hapa JF.
 
sasa utatuhakikishia vipi kuwa hizi taarifa zako hazina maslai ya kisiasa? me naona hata kama ni huyu basi ni mzalendo sana na nchi yetu maana kaepusha mengi zaidi hasa njama za kuwanyamazisha waandishi wa habari.
alaf kama ni hivyo utashindwa maana kutoa namba ya mtu hapa wala si ushahidi wa tuhuma zako.

Kweli Mabere Marando amewashika kweli kweli.
 
Sure mkuu. Kwa sasa watu wataacha kuwasiliana kwa uhuru na wapenzi wao maana kwa jinsi nimjuavyo dr slaa atanogewa na ataanza kufuatilia kwa tamaa zake za kimapenzi. Babubwana wala hachoki. Au ndo analipiza ujana wake alioupoteza kwa kuwa padri

Acha kupayuka payuka wewe, akili yako inamuwaza Dr. Slaa tu au unataka kuolewa?
 
mkuu unabahatisha ,usilete majungu hapa kwenye jamii vielelezo ulivyoweka ni vyepesi na umemhisi mhusika au ni mkazi au sio mkazi ila kwa kuwafurahisha watu wako pokea mshiko wako chapa malapa mbele iwe kweli au uwongo shauri yao.
 
Mbona tigo hawajalalamikia mtu kuvujisha hizo unazoita siri!

We lazima utakuwa mpinga mageuzi nchini.
 
Kupitia tigo pamoja na Voda, airtel, zantel, yahoo, hotmail Gmail n.k ni sehemu ya mitandao ambayo siri chafu za ccm zimekuwa zikivuja pia, je huyu Rosel ana husika pia na kampuni zote hizi???

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Kama ni hivyo mkuu, basi mabere marando ndo mtu wa kwanza kupuuzwa
 
hiki chama hakifai katika jamii iliyostaarabika ya watanzania
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…