utaifakwanza
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 14,193
- 2,813
- Thread starter
- #161
anyongwe huyu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, kama huamini hoja taarifa hii sijui utaamini taarifa gani
Hakuna cha kupika. Naiamini taarifa hiyo kwa asilimia mia moja maana jamaa kaweka contact za mhusika zote
Acha uzushi kuna taratibu za kufuata ili uweze kupewa mawasiliano ya mtu yeyote hata ww ukitaka.
Tunataka utuambie CDM walifuata au hawakufuata utaratibu kupata hayo mawasiliano?