Anayeuza kiwanja/nyumba moja kwa Watu tofauti afungwe

Anayeuza kiwanja/nyumba moja kwa Watu tofauti afungwe

MTV MBONGO

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2016
Posts
1,281
Reaction score
1,251
Migogoro hii imekuwa mingi, mbona sisikii wakifungwa? Wengine ni familia moja wanakula dili, documents zinapigwa kopi kisha kila mtu anamtafuta mjinga wake.

Wamezidi kuongezeka, ziundwe sheria maalum kwa ajili yao
 
Changamoto kubwa inayoikabili jamii kwa sasa haswa wanaoishi mijini ni hio migogoro ya ardhi.

Kila mahali ni kesi, usuluhishi, malumbano na kila aina ya kadhia itokayo kwa migogoro ya ardhi, kuna haja kwa kweli serikali kuingilia kati.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom