MTV MBONGO JF-Expert Member Joined Feb 18, 2016 Posts 1,281 Reaction score 1,251 Oct 14, 2021 #1 Migogoro hii imekuwa mingi, mbona sisikii wakifungwa? Wengine ni familia moja wanakula dili, documents zinapigwa kopi kisha kila mtu anamtafuta mjinga wake. Wamezidi kuongezeka, ziundwe sheria maalum kwa ajili yao
Migogoro hii imekuwa mingi, mbona sisikii wakifungwa? Wengine ni familia moja wanakula dili, documents zinapigwa kopi kisha kila mtu anamtafuta mjinga wake. Wamezidi kuongezeka, ziundwe sheria maalum kwa ajili yao
Pendaelli JF-Expert Member Joined Feb 13, 2014 Posts 11,050 Reaction score 31,412 Oct 14, 2021 #2 Changamoto kubwa inayoikabili jamii kwa sasa haswa wanaoishi mijini ni hio migogoro ya ardhi. Kila mahali ni kesi, usuluhishi, malumbano na kila aina ya kadhia itokayo kwa migogoro ya ardhi, kuna haja kwa kweli serikali kuingilia kati. Sent using Jamii Forums mobile app
Changamoto kubwa inayoikabili jamii kwa sasa haswa wanaoishi mijini ni hio migogoro ya ardhi. Kila mahali ni kesi, usuluhishi, malumbano na kila aina ya kadhia itokayo kwa migogoro ya ardhi, kuna haja kwa kweli serikali kuingilia kati. Sent using Jamii Forums mobile app