Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 4,460
- 13,715
Mhamasishaji wenu:
www.jamiiforums.com
Kumtapeli mbongo ni raha sana, we mpatie vimaneno vimaneno vya hamasa ghafla ulimbukeni wake utaanza kutiki one by one hadi unamchukua mazima.
Anaewaambia mtoe watoto elementary eti mnapoteza hela ndio huyo huyo mu-iraq akija kumtaka mtoto wako atakuja nae kama mshenga kukuhamasisha tena ukubali kirahisi rahisi🤣🤣🤣
Ila wabongo 🙆🏿♂️🙆🏿♂️🙆🏿♂️🙆🏿♂️
Bunge la iraqi:
www.jamiiforums.com
Nasimama na bunge la Iraq kuhalalisha ndoa za wasichana wenye umri wa miaka 9
Amini kwamba Kuna baadhi ya mambo hapa duniani huwezi kuyaelewa mpaka Likud akueleweshe. Haya Sasa twende Kazi. 👇👇👇 Kumekuwa na Kelele nyingi Sana kutoka Kwa watu wanao jiita watetezi wa haki za binadamu baada ya Bunge la Iraq kupitosha Sheria inayo ruhusu wasichana wenye umri wa miaka Tisa...
Kumtapeli mbongo ni raha sana, we mpatie vimaneno vimaneno vya hamasa ghafla ulimbukeni wake utaanza kutiki one by one hadi unamchukua mazima.
Anaewaambia mtoe watoto elementary eti mnapoteza hela ndio huyo huyo mu-iraq akija kumtaka mtoto wako atakuja nae kama mshenga kukuhamasisha tena ukubali kirahisi rahisi🤣🤣🤣
Ila wabongo 🙆🏿♂️🙆🏿♂️🙆🏿♂️🙆🏿♂️
Bunge la iraqi:
Bunge la Iraq limepitsha rasmi sheria ya kuhalalisha ndoa za wasichana wenye umri wa miaka 9
Bunge la Iraq limepitisha sheria ya 'kutisha' kuruhusu watoto wa umri wa miaka tisa kuolewa, huku wanaharakati wakisema kuwa hatua hiyo itahalalisha ubakaji wa watoto. Sheria hiyo mpya inazipa mahakama za Kiislamu mamlaka zaidi katika kushughulikia masuala ya kifamilia kama vile ndoa, talaka...