Tumia AI mbona rahisi mkuu.
Jmn hayuko peke yake,lema,mnyika,slaa wote wanasaidiana!
Aisee!!Hilo si jeshi la mtu mmoja:
View attachment 3336730
Hili ni jeshi la wananchi kwani hata huko CCM wamo!
View attachment 3336734
Kwani lila na fila hutangamana?
imhotep, Lucas Mwashambwa, Tlaatlaah na wale wengine au nasema uongo?
Hii ndio inaitwa Back Up Plan.
Kweney hii Fight Heche anaungwa mkono na makundi yooteHilo si jeshi la mtu mmoja:
View attachment 3336730
Hili ni jeshi la wananchi kwani hata huko CCM wamo!
View attachment 3336734
Kwani lila na fila hutangamana?
imhotep, Lucas Mwashambwa, Tlaatlaah na wale wengine au nasema uongo?
Mpelekee Kipanya ni dakika 0
Alafu kuna makalio wa kuitwa Sugu..... Yule bro nimemshusha vyeo kinoma
Sugu ni chawa yule hawezi kuwa huku, lazima amsapoti mzee nongwa.Alafu kuna makalio wa kuitwa Sugu..... Yule bro nimemshusha vyeo kinoma