Anayeweza Kutengeneza 'kipeperushi' cha JOHN HECHE... Kuwe na maneno "ONE MAN ARMY"

Ila (Lema ,Heche, Mnyika,Dr Slaa) wakifanikiwa kuivusha CHADEMA kutoka kwenye hii level ,hakika history itawakumbuka aisee .

Jamaa wanapitishwa kwenye tanuru la moto mkali kwelikweli .
 
Kaka hata sasa CHADEMA haivushwi na HAO ..
Inavushwa na WATU... Mioyoni mwa watu wako na CHADEMA.
NA NDIO MAANA MBOWE ANAHISI AMEPORWA . πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mkuu umeongea kwa hisia hadi nimeogopa aisee .

Umesema kweli sana ,mwamba huko aliko hayuko sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…