U Udart JF-Expert Member Joined Nov 5, 2016 Posts 487 Reaction score 780 May 17, 2025 #41 Nelly said: Alafu kuna makalio wa kuitwa Sugu..... Yule bro nimemshusha vyeo kinoma Click to expand... mi yule jamaa sijawahi kumkubali yeye ni mtu wa misifa lkn sio smart kama kina heche.
Nelly said: Alafu kuna makalio wa kuitwa Sugu..... Yule bro nimemshusha vyeo kinoma Click to expand... mi yule jamaa sijawahi kumkubali yeye ni mtu wa misifa lkn sio smart kama kina heche.
K Kb Ulayaulaya JF-Expert Member Joined Jan 5, 2023 Posts 802 Reaction score 1,156 May 18, 2025 #42 Kisiki cha mpingo,mwamba kweli kweli
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 70,481 Reaction score 167,331 May 18, 2025 #43 Nelly said: Alafu kuna makalio wa kuitwa Sugu..... Yule bro nimemshusha vyeo kinoma Click to expand... Leo kapiga kazi sana Mbeya
Nelly said: Alafu kuna makalio wa kuitwa Sugu..... Yule bro nimemshusha vyeo kinoma Click to expand... Leo kapiga kazi sana Mbeya
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 70,481 Reaction score 167,331 May 18, 2025 #44 brazaj said: Pole pole huwa tunakuja kuelewana tu: View attachment 3336746 Kumbuka tumetokea mbali! Click to expand... 1. Mbowe ni adui no 1 wa chadema kwasasa 2. Alipanga safu yake ya uharibifu mapema kuanzia kanda na mikoa kwa watu wanaofika bei 3. Alipopigwa chini sasa amewachomoa genge lake
brazaj said: Pole pole huwa tunakuja kuelewana tu: View attachment 3336746 Kumbuka tumetokea mbali! Click to expand... 1. Mbowe ni adui no 1 wa chadema kwasasa 2. Alipanga safu yake ya uharibifu mapema kuanzia kanda na mikoa kwa watu wanaofika bei 3. Alipopigwa chini sasa amewachomoa genge lake