Anayofanya ndg Polepole yamepangwa na CCM na yataisha baada ya Uchaguzi Mkuu

The Saver

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2014
Posts
204
Reaction score
751
Baada ya kuzuka wimbi la watanzania kudai katiba mpya miaka hiyo kipindi cha Jk kuliibuka matukio mengi ili kuzima wimbi la katiba mpya kwa watanzania

CCM inakujaga na planned and calculated mission za muda mrefu mfano ni mingi ila kwa uchache

Shabuda, Zitto, Sumaye, late Lowasa etc hii ni planned mission za CCM zilizofanikiwa na kufail

Mpina ameandaliwa muda mrefu haya yote anayofanya ni maigizo, mission ipo calculated lakin imeishafail maana mpina HANA USHAWISHI KWA WATANZANIA SIASA ZAKE NGUMU HAZIELEWEKI KWA WATZ (MISSION FAILED)

MBOWE MISSION (HII IPO INAPIKWA HOW TO MAKE A MOVE ITASHUTUA LAKINI ITAFAIL MBELE YA CHADEMA)

SASA HII YA H. POLEPOLE ni well calculated mission kuwapoteza watanzania kuhusu REFORMS. H. POLEPOLE atateka vyombo vya habari vyote kila mara anakuja kuongea na watanzania

H. POLEPOLE kawekwa kwa mission kuanisha mada za reforms kwa watanzania.

H POLEPOLE kaweka kuleta mgongano ndani ya CCM ili watanzania waone kuna msiguano ambao haupo.

DRAMA za H POLEPOLE haziwezi kuleta mabadiliko ndani ya CCM

DRAMA ZA H POLEPOLE zitaisha OCTOBER 2025 MISSION ITAKUWA COMPLETED NA ATAENDELEA KULA BONUS ZAKE

Haya yote ya H POLEPOLE NI DRAMA
 
Kuhusu msuguano CCM kwamba haupo sio kweli, (use social inferences)

Tunaishi kwenye jamii ya kanyanga twende jamii ambayo unaweza kuisafisha ubongo ikafikiri unavyotaka wewe jamii ambayo wengi wao hawawezi kuchakata fikra chanya na hasi tukichagizwa na mfumo wa unyumbu wa kisiasa ambao ni mfumo unao wezesha wanaopewa dhamana kuahirisha kufikiri kwa nafsi kwasababu ya kulitumikia kundi fulani kwa masilahi binafsi kwanjia ya kujipendekeza ama kwa uoga wa kuigiza, (unafiki), a.k.a kujizima data tuseme kuahirisha kufikiri kizalendo

Someni kuhusu 'self-absorbed group'
 
Baada ya kuzuka wimbi la watanzania kudai katiba mpya miaka hiyo kipindi cha Jk kuliibuka matukio mengi ili kuzima wimbi la katiba mpya kwa watanzania

CCM inakujaga na planned and calculated mission za muda mrefu mfano ni mingi ila kwa uchache

Shabuda, Zitto, Sumaye, late Lowasa etc hii ni planned mission za CCM zilizofanikiwa na kufail

Mpina ameandaliwa muda mrefu haya yote anayofanya ni maigizo, mission ipo calculated lakin imeishafail maana mpina HANA USHAWISHI KWA WATANZANIA SIASA ZAKE NGUMU HAZIELEWEKI KWA WATZ (MISSION FAILED)

MBOWE MISSION (HII IPO INAPIKWA HOW TO MAKE A MOVE ITASHUTUA LAKINI ITAFAIL MBELE YA CHADEMA)

SASA HII YA H. POLEPOLE ni well calculated mission kuwapoteza watanzania kuhusu REFORMS. H. POLEPOLE atateka vyombo vya habari vyote kila mara anakuja kuongea na watanzania

H. POLEPOLE kawekwa kwa mission kuanisha mada za reforms kwa watanzania.

H POLEPOLE kaweka kuleta mgongano ndani ya CCM ili watanzania waone kuna msiguano ambao haupo.

DRAMA za H POLEPOLE haziwezi kuleta mabadiliko ndani ya CCM

DRAMA ZA H POLEPOLE zitaisha OCTOBER 2025 MISSION ITAKUWA COMPLETED NA ATAENDELEA KULA BONUS ZAKE

Haya yote ya H POLEPOLE NI DRAMA
Oktoba 2025 Hakuna UCHAFUZI, tutafanya juu chini kuuzuia usifanyike
noReformsNoElection.PNG
 
Muwe mnatumia ubongo kidogo kabla ya kuanzisha thread. Mtu anaongea SIRI nzito sana kuhusu PAST ya chama chake, watu wazito wanaumbuliwa hadi ROSTAM anatoka pangoni kujaribu kumshushua, Polepole maisha yake yamekuwa ya VPN masaa yote, anakuja mjinga mmoja anasema hiyo ni movie imepangwa na CCM!?.., Yawezekana wewe ndo unajaribu kuifanya ionekane ni movie ya kuigiza ili watu wapunguze kumfatilia lakini umeshachelewa. Na kama sio hivyo basi uelewa wako ni mdogo.
 
Chadema endeleeni kucheza muziki msioujua mana hamjitambui, mtakuja kushtuka muda umeisha, mwanzo mlikuwa mnamsifia Mpina ila ameenda ACT mnasema ni project ya Samia mana mlidhani na mlitaka aje chadema ndo labla mngeona sio project.
 
Polepole akimakiza kuongea episode ya nne chama kitakua haki a budi kitafute mgombea mwingine maana mgombea na boss wake watakosa moral authority ya kusimama kwenye jamii.

Si Polepole peke yake, wako wengi na kila mtu ataibuka kwa wakati wake. Yule aliyelazimishwa kua his kiti cha usemaji akaishia kutubu “Nime kiss mimi”. Yule aliyeandika barua ya kujiuzuru na baada alipotea na sasa hivi Ana times tu kwenda kwenye misiba ya nchi za nje.

Watakuja wote na siri nzito zitstoka. Huu utakua masikio mkubwa sana kwa wana mtandao na wahuni ki ujumla.
 
CCM ninayoijua Mimi haiwezi kutuma mtu kuongelea siri za vikao vya juu vya Chama hivyo tumia akili siku nyingine
 
Chadema endeleeni kucheza muziki msioujua mana hamjitambui, mtakuja kushtuka muda umeisha, mwanzo mlikuwa mnamsifia Mpina ila ameenda ACT mnasema ni project ya Samia mana mlidhani na mlitaka aje chadema ndo labla mngeona sio project.
Unanijibu mimi au mleta mada!!????, sio kila mtu ni CCM au CHADEMA. Wengine ni wachangiaji tu hawana vyama. Iweke hiyo akilini mwako ili ujue sio kila anayekupa like au anayekupinga lazima awe na chama ili majadiliano yawe ya kutumia mtazamo binafsi sio mkumbo wa kufuata vyama.
 
Na mi nahisi hibo na Lupina ile ni project kwenda kupeleka ushindani kwa Samia watu wajitokeze kupiga kura.Ila imesha fail vibaya mno yani mtu ukurupuke kulupu kwenda kugombania urais ila hawa watu wamejua kutudharau sana.Elimu Elimu Elimu!Watanzania tuamke huu ni mwaka wa ukombozii
 
Lakini sio kila tukio la kisiasa linalotokea ni kwa ajili ya Chadema.
 
Uko sahihi kabisa. Ni project kama livyokuwaga magale shibuda kachero mwandamizi upinzani
 
Muwe mnatumia ubongo kidogo kabla ya kuanzisha thread. Mtu anaongea SIRI nzito sana kuhusu PAST ya chama chake, watu wazito wanaumbuliwa hadi ROSTAM anatoka pangoni kujaribu kumshushua, Polepole maisha yake yamekuwa ya VPN masaa yote, anakuja mjinga mmoja anasema hiyo ni movie imepangwa na CCM!?.., Yawezekana wewe ndo unajaribu kuifanya ionekane ni movie ya kuigiza ili watu wapunguze kumfatilia lakini umeshachelewa. Na kama sio hivyo basi uelewa wako ni mdogo.
Mtu Aache na ubalozi huko utuambie ni move.
 
Chadema endeleeni kucheza muziki msioujua mana hamjitambui, mtakuja kushtuka muda umeisha, mwanzo mlikuwa mnamsifia Mpina ila ameenda ACT mnasema ni project ya Samia mana mlidhani na mlitaka aje chadema ndo labla mngeona sio project.
Una shida ya akili we kila kitu ni chadema tu kwani wemgine hawawezi kusema no bila kuwa chadema
 
Unanijibu mimi au mleta mada!!????, sio kila mtu ni CCM au CHADEMA. Wengine ni wachangiaji tu hawana vyama. Iweke hiyo akilini mwako ili ujue sio kila anayekupa like au anayekupinga lazima awe na chama ili majadiliano yawe ya kutumia mtazamo binafsi sio mkumbo wa kufuata vyama.
Sawa Jerusalem Mgalilaya
 
Back
Top Bottom