Kuhusu msuguano CCM kwamba haupo sio kweli, (use social inferences)Baada ya kuzuka wimbi la watanzania kudai katiba mpya miaka hiyo kipindi cha Jk kuliibuka matukio mengi ili kuzima wimbi la katiba mpya kwa watanzania
CCM inakujaga na planned and calculated mission za muda mrefu mfano ni mingi ila kwa uchache
Shabuda, Zitto, Sumaye, late Lowasa etc hii ni planned mission za CCM zilizofanikiwa na kufail
Mpina ameandaliwa muda mrefu haya yote anayofanya ni maigizo, mission ipo calculated lakin imeishafail maana mpina HANA USHAWISHI KWA WATANZANIA SIASA ZAKE NGUMU HAZIELEWEKI KWA WATZ (MISSION FAILED)
MBOWE MISSION (HII IPO INAPIKWA HOW TO MAKE A MOVE ITASHUTUA LAKINI ITAFAIL MBELE YA CHADEMA)
SASA HII YA H. POLEPOLE ni well calculated mission kuwapoteza watanzania kuhusu REFORMS. H. POLEPOLE atateka vyombo vya habari vyote kila mara anakuja kuongea na watanzania
H. POLEPOLE kawekwa kwa mission kuanisha mada za reforms kwa watanzania.
H POLEPOLE kaweka kuleta mgongano ndani ya CCM ili watanzania waone kuna msiguano ambao haupo.
DRAMA za H POLEPOLE haziwezi kuleta mabadiliko ndani ya CCM
DRAMA ZA H POLEPOLE zitaisha OCTOBER 2025 MISSION ITAKUWA COMPLETED NA ATAENDELEA KULA BONUS ZAKE
Haya yote ya H POLEPOLE NI DRAMA
Oktoba 2025 Hakuna UCHAFUZI, tutafanya juu chini kuuzuia usifanyikeBaada ya kuzuka wimbi la watanzania kudai katiba mpya miaka hiyo kipindi cha Jk kuliibuka matukio mengi ili kuzima wimbi la katiba mpya kwa watanzania
CCM inakujaga na planned and calculated mission za muda mrefu mfano ni mingi ila kwa uchache
Shabuda, Zitto, Sumaye, late Lowasa etc hii ni planned mission za CCM zilizofanikiwa na kufail
Mpina ameandaliwa muda mrefu haya yote anayofanya ni maigizo, mission ipo calculated lakin imeishafail maana mpina HANA USHAWISHI KWA WATANZANIA SIASA ZAKE NGUMU HAZIELEWEKI KWA WATZ (MISSION FAILED)
MBOWE MISSION (HII IPO INAPIKWA HOW TO MAKE A MOVE ITASHUTUA LAKINI ITAFAIL MBELE YA CHADEMA)
SASA HII YA H. POLEPOLE ni well calculated mission kuwapoteza watanzania kuhusu REFORMS. H. POLEPOLE atateka vyombo vya habari vyote kila mara anakuja kuongea na watanzania
H. POLEPOLE kawekwa kwa mission kuanisha mada za reforms kwa watanzania.
H POLEPOLE kaweka kuleta mgongano ndani ya CCM ili watanzania waone kuna msiguano ambao haupo.
DRAMA za H POLEPOLE haziwezi kuleta mabadiliko ndani ya CCM
DRAMA ZA H POLEPOLE zitaisha OCTOBER 2025 MISSION ITAKUWA COMPLETED NA ATAENDELEA KULA BONUS ZAKE
Haya yote ya H POLEPOLE NI DRAMA
🤣 🤣 🤣 🔊Oktoba 2025 Hakuna UCHAFUZI, tutafanya juu chini kuuzuia usifanyike
View attachment 3433005
Chadema endeleeni kucheza muziki msioujua mana hamjitambui, mtakuja kushtuka muda umeisha, mwanzo mlikuwa mnamsifia Mpina ila ameenda ACT mnasema ni project ya Samia mana mlidhani na mlitaka aje chadema ndo labla mngeona sio project.Muwe mnatumia ubongo kidogo kabla ya kuanzisha thread. Mtu anaongea SIRI nzito sana kuhusu PAST ya chama chake, watu wazito wanaumbuliwa hadi ROSTAM anatoka pangoni kujaribu kumshushua, Polepole maisha yake yamekuwa ya VPN masaa yote, anakuja mjinga mmoja anasema hiyo ni movie imepangwa na CCM!?.., Yawezekana wewe ndo unajaribu kuifanya ionekane ni movie ya kuigiza ili watu wapunguze kumfatilia lakini umeshachelewa. Na kama sio hivyo basi uelewa wako ni mdogo.
Unanijibu mimi au mleta mada!!????, sio kila mtu ni CCM au CHADEMA. Wengine ni wachangiaji tu hawana vyama. Iweke hiyo akilini mwako ili ujue sio kila anayekupa like au anayekupinga lazima awe na chama ili majadiliano yawe ya kutumia mtazamo binafsi sio mkumbo wa kufuata vyama.Chadema endeleeni kucheza muziki msioujua mana hamjitambui, mtakuja kushtuka muda umeisha, mwanzo mlikuwa mnamsifia Mpina ila ameenda ACT mnasema ni project ya Samia mana mlidhani na mlitaka aje chadema ndo labla mngeona sio project.
Mtu Aache na ubalozi huko utuambie ni move.Muwe mnatumia ubongo kidogo kabla ya kuanzisha thread. Mtu anaongea SIRI nzito sana kuhusu PAST ya chama chake, watu wazito wanaumbuliwa hadi ROSTAM anatoka pangoni kujaribu kumshushua, Polepole maisha yake yamekuwa ya VPN masaa yote, anakuja mjinga mmoja anasema hiyo ni movie imepangwa na CCM!?.., Yawezekana wewe ndo unajaribu kuifanya ionekane ni movie ya kuigiza ili watu wapunguze kumfatilia lakini umeshachelewa. Na kama sio hivyo basi uelewa wako ni mdogo.
Una shida ya akili we kila kitu ni chadema tu kwani wemgine hawawezi kusema no bila kuwa chademaChadema endeleeni kucheza muziki msioujua mana hamjitambui, mtakuja kushtuka muda umeisha, mwanzo mlikuwa mnamsifia Mpina ila ameenda ACT mnasema ni project ya Samia mana mlidhani na mlitaka aje chadema ndo labla mngeona sio project.
Kila mtu ana matatizo ya akiliUna shida ya akili we kila kitu ni chadema tu kwani wemgine hawawezi kusema no bila kuwa chadema
Sawa Jerusalem MgalilayaUnanijibu mimi au mleta mada!!????, sio kila mtu ni CCM au CHADEMA. Wengine ni wachangiaji tu hawana vyama. Iweke hiyo akilini mwako ili ujue sio kila anayekupa like au anayekupinga lazima awe na chama ili majadiliano yawe ya kutumia mtazamo binafsi sio mkumbo wa kufuata vyama.