Anayopitia mdogo wangu wa kike siyo sawa na umri wake, inaniumiza sana...

Bora wewe umegundua wanawake tunapitia magumu mara dufu yenu! Kwahilo tu Mungu akubariki!niliwahi sema uzi mmoja marufuku kbs kumcheka single parent wanapitia mengi sana nikavamiwa na malaika wa jf!
 
aise acha nami nikulalamikie kidg...! Unakumbuka nilikuunganishia kazi Mwanza mwaka juzi eh? Nikampa jamaa namba zako tunakupgia hupokei..! Binafsi nilishangaa na jamaa mie nilikua namjua ana roho ya huruma mno mno...kwanza suala la mshahara hata ungeshangaa hela anayokupa ungemsaidia sana sister ako..! Kwanza hakua na kazi alikua anTaka kijana tu wa kulinda jumba lake akiwa kazini..so ww ungepata fursa tena na tena za kufanya chichote as side hustle..anywys tuyaache haya

Namba 2 pole sana son....! Wewe ndo baba kwa hao wajomba! Mpe moyo dada kila uwezapo...
3.nitumie namba yake pm ila utamuambia wewe unitambulishe!

pole sana aisee!
 
Anayopitia siyo sawa na umri wake, hii hali inaniumiza sana mimi kama kaka yake. Nazikumbuka sana nyakati nzuri tukiwa na wazazi wetu.
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji29][emoji29][emoji29][emoji2827][emoji2827][emoji2827][emoji2827][emoji2827][emoji2827][emoji2827]
Siku njema zijapopita usihuzunike bali ufurahi kwakuwa zilikuwako!
Mungu atampigania
 
Mchukue ukae nae karibu,maana mkiwa karibu hata wewe mwenyewe binafsi utapata utulivu na amani kuliko akiwa mbali na wewe halafu kila wakati unawaza ..leo kapatwa na nini huko, Unakosa utulivu cha msingi mchukue ukae nae karibu mkuu.
 
Sijui ni changamoto gani anazo zipitia lakn kwa maelezo yako binafs nimekuelewa na nakupa pole wewe na mdogo ako haya ndo maisha, ...cha msingi hakuna kukata tamaa kesho ya mwanadamu ni fungu kikubwa dua[emoji120][emoji120]

Mungu awatie nguvu na akiri ya kuwayashinda majaribu...

Usisahau kuwaombea zaidi walio na matatizo makubwa kukuzidi na mungu atakuinua
 
Mkuu mbona hata haujasema yupo mkoa gani na labda hata kwa sasa anaishi wapi au mazingira gani. Anyway pole(ni) Mkuu
 
mtoa mada umesepa! au ushapata ufumbuzi wa anayopitia dada yako?
 
Poleni sana mkuu. Omba msaada wowote hapa na tutachangia kadri ya uwezo for your sisy.

Watoto wa kike wanapitia magumu mno mno mno na changamoto nyingi kwa maisha ya sasa... hasa wanaotokea familia masikini.

Ukimkuta single mother out there usimkebehi wala kumdharau. Ni kumuombea na kumpa support kadri iwezekanavyo.

Wanapitia the hard way to survive this world of irresponsible fathers.

I know and am closely witnessing what I am talking here.

-Kaveli-
 
Jamii kubwa kwa sasa inakumbwa na tatizo la irresponsible fathers.

Family break-ups zimekuwa nyingi.

Pia, mabinti kuzalishwa na kutelekezwa imekuwa kama jadi.

-Kaveli-
 
Kabisa mkuu, me mwenyewe ni ndugu yangu kazalishwa na jamaa na kiuhalisia familia ya yule jamaa haimtaki kutokana na Dini yake

Ila cha ajabu anaenda kulala kwa jamaa anarudi Asubuhi nyumbani

Inshort mkuu hawa watu wakati mwingine siyo akili zao watu wanakua washafanya yao yaani kuwapumbaza kichawi.
 
THE WORLD OF IRRESPONSIBLE FATHER'S!!! Mungu wasaidie wakina Mama waliotelekezwa na wanaume!! Kwa kweli wanapitia magumu mengi!!
 
Mie nisingeweza..hongera
Inabidi tu manake ndo ashakua baba na ukisema uzidi kumwekea kinyongo unateseka zaidi wewe huku mwenzio akila bata na familia yake
Namwomba Mungu anipe kipato tena niwe namnunulia mazawadi nampelekea
 
Yap
But trust me haikua rahisi mpaka nikamtoa moyoni nimepambana sana kusamehe
I know honey.

God bless your beautiful heart.

Mtekelezee majukumu yake kama Mzazi.

Na umuombe Mungu ukiwa baba na wewe huyu tushetani tusikushawishi na wewe.πŸ€«πŸ€«πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
I know honey.

God bless your beautiful heart.

Mtekelezee majukumu yake kama Mzazi.

Na umuombe Mungu ukiwa baba na wewe huyu tushetani tusikushawishi na wewe.πŸ€«πŸ€«πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Thank you my dear
Nimejifunza sana
Mungu anisaidie nisipite njia hiyo watoto ntawaumiza wakati hawana hatia
It,s more like psychological torture and trauma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…