- Thread starter
- #21
Hao wamemzidi kipi Messi ?.....huyo Mzee naye kaongea kishabiki tu.
kama umewahi kuwaona kwa utulivu huwezi zungumza upuuzi kama huo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao wamemzidi kipi Messi ?.....huyo Mzee naye kaongea kishabiki tu.
Wewe ulishakiri humpendi Messi, hivyo mtu akisema Messi ni zaidi ya hao lazima uite upuuzi........ila kiuhalisia hao kina Zidane, Benzema (aliyetajwa na Ancelotti) hawana walichomzidi La Pulgakama umewahi kuwaona kwa utulivu huwezi zungumza upuuzi kama huo.
Pele ni mtu na Robo tatuMessi Ni mchezaji na nusu
Katika hili naamini nimempita asilimia 100%.No offense mkuu lakini like serious unaamini una uwezo mkubwa wa kufikiri kupita Ancelloti linapofika jambo la mpira?!
Walimkuwa wanamsema CR7 ni Penaldo kutokana na kufunga magoli ya penati, hao hao wanaimba na kusifu hakuna kama Messi baada ya kuchukua WC Kwa mapenati.
Rubbish.