nimetumia mfano wa mythologies za wayahudi kwenye genesis kwa sababu ina relate na swali lako kwa nini mungu ameumba dunia yenye matatizo, cause kuna two creations kama ukiisoma vizur genesis utaiona na kwenye hizo creations moja haikua complete nyingine ilikua complete,ningeweza kutoa mythologies za sumeria za enki na enlil lakin watu wengi watakua gizan na kitu nachokiongea kwani wengi hawatumii holistic approach katika kuangalia hivi vitu wanakua biased with religion and culture
na unaweza kuamini mungu yeyote kwan katika anthropolojia tunaamin myth ni hadithi za kwel ambazo zimeathiriwa kutokana na upokeaji wake kutoka jamii moja kwenda nyingine kwa njia ya mdomo, kila mtu aliyemsimulia kizaz chake kinachofuata aidha kuna vipande alisahau au ameongeza kutokana na mazingira ya wakati huo au upungufu wa maneno kumbuka lugha ni kitu kichanga binadamu hakuanza tu kuongea alijifunza lugha kutokana na mazingira aliyokutana nayo na kazi yetu anthropologist ni kudecipher the real message ndio mana hadithi za uumbaji na matukio mengi ya zamani zinataka kufananafanana kidogo ila kila sehemu zinapinda mahali kutokana na kuathiriwa na lugha,fanan,hadhira,mazingira na wakati aliopewa mtu kama ni mwaka 1800 au 1900 mfano hadithi ya mkwawa aliyepewa mtu wa miaka ya 1890 au 1900 haifanan na ambayo tunapewa sasa kuna information nyingi hazipo na zingine zimetiwa chumvi ila ni kazi yetu kudig the truth
suala la mungu kuumba dunia is just a human reasoning katika kuelewa chanzo chake ni nini?kwani ukiangalia kila kitu ambacho tunakiona tunajua kina mwanzo,kuanzia wewe ulipozaliwa unajua baba yako na mama yako walifanya tendo la ndoa na kukupata wewe,hivyohivyuo babako nae alipatikana kwa bibi yako na babu yako na kuendelea, lakini mwisho wa siku utajiuliza nan alikua basi chanzo cha wote ?je ni cycle isiyoisha?imeanzia wapi?ndipo watu walipoanza kuangalia wanyama na wadudu suala ni hilohilo,ukiangalia miti na maua suala ni hilohilo lazima seeds zianzie sehemu,na lazima kuna sehemu hizo seeds zitakua na mazingira muafaka ili kuweza kukua,kama kupata maji,jua,udongo mzuri ili kuweza kujiumba,swali litarudi palepale nini kilianza basi?hapo ndipo kila mtu anapogawanyika kutokana na experience aliyonayo,wacape verde watasema yao,wayahudi watasema yao and you are also welcome to give your opinion on the matter whether scientific or mythological because it is the law of nature to have a cause and effect and human reasoning is based on cause and effect,na ww pia upo subjected to the law as you are looking for the cause and effect.
kumjua mungu ni lazima utoke kwenye cycle ya cause and effect(think out of the box) or else kujaribu kuprove kwa cause and effect is like subjecting God to birth,growth and death as everythingi in that cycle goes through that scenario and if its true naye yupo subject na cause and effect basi kuna uwezekano ameshakufa kitambo au ndio dunia or the living world we are inside, living inside him