And They called His Name Sananda

Mkuu Gaijin, hata wewe?, kipi hasa usichoelewa?!.

Kama hueleweki, hueleweki tu sio kosa la Gaijin hata kidogo

Mungu ana nguvu, na shetani ana nguvu!, japo Mungu ana nguvu zaidi ya shetani, lakini hawezi kumuangamiza shetani simply because the mwanzo wa Mungu ndio mwanzo ule ule wa shetani na the source of power ni ile ile source ya powers za Mungu!.

Unachokisema hapa ni tofauti na ulichokisema mwanzo.

"Shetani ana nguvu kama Mungu" ni tofauti na "Shetani ana nguvu, na Mungu ana nguvu" na ni tofauti na "Mungu ana nguvu, na shetani ana nguvu!"



Kwa hiyo Mungu anafacilitate kazi za shetani? Mungu anatumiwa na shetani katika kutekeleza mambo yake? Shetani anauwezo wa kum-manipulate Mungu hadi amasaidie kutimiza maovu yake?

*Nna was'was' mungu huyo ndo yule alotengenezwa na mad scientist wa Kiranga
 
Hujarudia, umesema kitu tofauti.

Hapo mwanzo umesema "Mungu ni concept tu" sasa umebadili unasema "mungu ni concept" big difference.

Which is which? Mungu ni concept au ni concept tu?

Unajua tofauti yake?

Mwaka mpya wangu bado mie.
Mkuu Kiranga, nadhani tatizo ni lugha, hebu twende kwa Kiswahili.

Mungu ni dhana tuu ili kujenga "imani" ya kuzifungua nguvu "I" powers zilizoko ndani ya kila binadamu za kufanya mema na mabaya!. Mungu huyo anaelezwa kuwa ni "supreme being", hana mwanzo wa mwisho na yupo popote!. Wengine wanamuelezea kuwa Mungu ni roho "spirit" ambayo hukaa ndani yetu nasi ndani yake!.

Kiukweli Mungu ni "I" powers ambayo ndio mimi, wewe, yeye, yule na wao!.

Vipi hapa Bado? imetosha au niendelee?.
Pasco.
 
K
Unachokisema hapa ni tofauti na ulichokisema mwanzo.

"Shetani ana nguvu kama Mungu" ni tofauti na "Shetani ana nguvu, na Mungu ana nguvu" na ni tofauti na "Mungu ana nguvu, na shetani ana nguvu!"
Kama Mungu ana nguvu, na shetani ana nguvu!, source ya hizo nguvu za Mungu huko alikozipata, ndiko huko huko shetani alikozipata, then shetani ana nguvu kama za Mungu kiasi kwamba Mungu hawezi kumuangamiza shetani, japo nguvu za Mungu ni zaidi kidogo tuu ya nguvu za shetani, kilicho zidi ni ule uwezo wa Mungu kutia uhai na kuuondoa tuu, not more not less!.
Pasco.
 

Shetani hawezi kuwa na nguvu kama za Mungu kama Mungu ana nguvu zaidi ya shetani au ndio "all animals are equal, but some animals are more equal than others"?

Of course that is kama Mungu ana nguvu
 
Hii mada ni ya mafilosopher kama una elimu ya kata utii mguu

Mkuu hapo umesema yaani humu JF kuna mijitu eti ni lazima ichangie kila mada na hawataki kuziruka
Kwanini km mada huielewi usiiache
Kwanini km Jukwaa lako ni la mahusiano na mapenzi usiende huko kuchangia
Hapa km huna Elimu hiyo wewe soma tu na pita
Ipo mada ililetwa na msomi wa Seminari humu JF ikimkataa MUNGU mpaka leo siioni na tulikuwa hatuthubutu kuichangia ila ni kusoma tu Wanatheolojia wakibishana
anayefahamu ilipo anirushie
 
Shetani hawezi kuwa na nguvu kama za Mungu kama Mungu ana nguvu zaidi ya shetani au ndio "all animals are equal, but some animals are more equal than others"?

Of course that is kama Mungu ana nguvu
Kama ile sio ya "if" kuonyesha probability, kama ile ni ya "as long as", its "definite!".

Ila nimekubali, zamani mijitu mibishi ilikuwa ni mijianaume tuu!, siku hizi kuna hata wanawake wabishi kuliko!,
I wonder your first man alihangaika kiasi ngani?!
Punguza ubishi dada yangu Gaijin!.
P.
 
Kama ile sio ya "if" kuonyesha probability, kama ile ni ya "as long as", its "definite!"

Maana hiyo ya "kama" umeitoa kwenye mamlaka gani? Tupe reference

Ila nimekubali, zamani mijitu mibishi ilikuwa ni mijianaume tuu!, siku hizi kuna hata wanawake wabishi kuliko!,
Umejuaje kuwa unaozungumza nao ni wanawake?

I wonder your first man alihangaika kiasi ngani?!
Alihangaika kiasi gani kwenye kufanya nini? (Ukitaka kutoa sexist remarks zitowe kwa wazi kabisa sio kujivunga vunga)

Punguza ubishi dada yangu Gaijin!.
Ni kipi katika niliyoyauliza umekitafsiri kuwa ni ubishi ili niweze kupunguza?
 
Hakuna hiyo! Fact to fact,unataka akubali asichokubali ili asiwe mbishi? Dear gaijjin be as sceptical as you can.
 

Ile mada mimi nilikuwa mmoja ya wadau waliochangia, nilipoiacha ilikuwa imeshafika kurasa zaidi ya 200.

Niliambiwa kuwa imepelekwa Jukwaa la Dini, binafsi siwezi kui-access tena.
 
Maana hiyo ya "kama" umeitoa kwenye mamlaka gani? Tupe reference ?
Kama Mungu ana nguvu, na shetani ana nguvu!, source ya hizo nguvu za Mungu huko alikozipata, ndiko huko huko shetani alikozipata, then shetani ana nguvu kama za Mungu"!.

"Kama ile sio ya "if" kuonyesha probability, kama ile ni ya "as long as", its "definite!"

God has powers and devil has powers, As long as God's powers is from the same source as devil's, then the devil has the same powers as God!. Hata Yesu alisema "Watakuja watu, watotoa mapepo kwa jina langu, lakini sio wangu!", akimaanisha kuna wachungaji, wahubiri, mitume na manabii, watafanya miujiza na kutoa mapepo "Kwa jina la Bwana!" lakini nguvu wanazotumia, sio nguvu za Mwanga (light) bali ni nguvu za giza (powers of darkness)!. Kitu ambacho hakijasemwa popote ni kuwa the source of all powers is the same! the "I"!.
Pascal.

Hayo mengine naomba unisamehe, sisi wengine kuna watu tukijibishana nao kwa kutumia basic instinct you can tell kuwa ni mwanamke au ni mwanaume, confirmation hupatikana kwenye avatar!. Sorry!.

Pasco.
 

Kwa hiyo kuchukua maneno ya Kiswahili ukayageuza kwa Kiingereza unachotaka wewe ndio kunathibitisha kuwa neno "kama" lina maana ya "As long as"?

Ukitaka iaminike hiyo maana ya "kama" kuwa ni kama ulivyoainisha basi njoo na reference zinazoeleweka kama kamusi sio kuthibitisha maana ya maneno ya Kiswahili kwa mamlaka yako mwenyewe.

Kukiri kuwa umechapia neno la Kiswahili na sio ulilokusudia kimaana pia inakubalika na tunaweza kuwa wa msaada kukusaidia neno au maneno mahsusi yenye maana ya "As long as"

Hadi muda huu Pascal unaonekana ama kutoelewa nadharia nzima unayojaribu kuiwasilisha au una matatizo kwenye matumizi ya lugha ya Kiswahili licha ya kuwa mwenyewe hutaki kukiri hilo



Hayo mengine naomba unisamehe, sisi wengine kuna watu tukijibishana nao kwa kutumia basic instinct you can tell kuwa ni mwanamke au ni mwanaume, confirmation hupatikana kwenye avatar!. Sorry!.

Pasco.

Hakuna aliyeomba au kutaka kuombwa msamaha. Yalikuwa ni maswali kwa maelezo yako yaliyokuwa hayajajitosheleza.

Unasema una " wonder mwanamme wangu wa kwanza alihangaika kiasi gani", ukiambiwa ufunguke "kuhangaika kwenye kitu gani" ili usaidiwe majibu upate kuacha ku-wonder kwenye mambo binafsi ya wengine, unagwaya, unakuja na samahani nyingi zisizoeleweka msingi wake.

Man up!
 
Mimi Pasco wa jf, nakiri kuwa sielewi nadharia nzima niliyojaribu kuiwasilisha na nina matatizo kwenye matumizi ya lugha ya Kiswahili!.

Sorry again, I neither meant to hurt you nor to make you feel bad!
P.
 

Kama mungu ni dhana tu, hayupo popote nje ya fikra. Ni kama "infinity". Infinity ni dhana ya kihesabu, lakini nje ya dhana huwezi kuipata infinity, haipo.

Ukianza tena mambo ya mungu ni I power sijui yuko ndani yetu ushabadili hii habari ya "mungu ni dhana tu", unaenda kumfanya mungj kuwa entity iliyo zaidi ya dhana.

Diction. Contradiction.
 
Mimi Pasco wa jf, nakiri kuwa sielewi nadharia nzima niliyojaribu kuiwasilisha na nina matatizo kwenye matumizi ya lugha ya Kiswahili!.

Sorry again, I neither meant to hurt you nor to make you feel bad!
P.

Add reading comprehension problem
 
Mungu ni Imani, imani ni dhana tuu, haipimiki, haishikiki, haionekaniki, matokeo ya powers zake tuu ndizo zinazoonekana!.
I think this is enough, haya ni mambo ya imani, unaweza auamini au usiamini ats all the same!, kinachowakuta waumini ni kile kile kinachowakuta wasio amini! na "yote ni ubatili tuu swa na kufukuza upepo!".
P.
 

Asante sana Mkuu kuna kitu nimejifunza
kupitia maelezo yako, Thanx, Asante, Gwabheja kwa Msisitizo niseme NDAGHA
 

Ukisema mungu ni imani, yupo ndani yetu sijui in the I, kwa mtu kama mie ambaye haamini mungu nami yumo ndani yangu? Maana umemjumuisha katika imani, ambayo sina, sasa nashangaa atakuwaje ndani yangu wakati sina hiyo imani?

Utasemaje niamini nisiamini ni sawa? Na ni kipi hicho kitakachowakuta waumini na wasioamini?

Kama yote ni ubatili tu sawa na kufukuza upepo, kwa nini unajisumbua kuyaelezea?

Je mungu naye, au hiyo imani yake, nayo ni ubatili mtupu?

Je kufukuza upepo ni ubatili kwa mtu anayefanya research ya kujua speed ya upepo ili kujenga windmills?

Acha cliche.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…