Niliwahi kusikia stori moja ilitokea enzi za utawala wa Mwalimu, sina uhakika kama ni ya kweli ama la! Mwalimu yuko kwenye gari anasafiri, akamuona njiani mama mjamzito amekaa chini amezidiwa, alikuwa anaelekea hospitalini. Mwalimu ikabidi ashuke kwenye gari; akamwamuru dereva amchukue yule mama amuwahishe hospitalini.
Nyati tu ana uwezo wa kuua simba, Tembo haiwezekani auliwe na simba, Simba hawana huo muda mkuu wataumiaYeah, na hata mkubwa wakija Simba kama kumi hiv wanamkalisha
Hii picha no ngumu sana kuiamini. Inaonekana kama photoshop