And we call them wild animals!

And we call them wild animals!

download.jpg
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜‡πŸ˜‡πŸ˜‚πŸ˜‡πŸ˜‡
 
Niliwahi kusikia stori moja ilitokea enzi za utawala wa Mwalimu, sina uhakika kama ni ya kweli ama la! Mwalimu yuko kwenye gari anasafiri, akamuona njiani mama mjamzito amekaa chini amezidiwa, alikuwa anaelekea hospitalini. Mwalimu ikabidi ashuke kwenye gari; akamwamuru dereva amchukue yule mama amuwahishe hospitalini.

Dereva akafanya hivyo na mwalimu akawa anaendelea na safari yake akiwa anatembea kwa miguu. Baadhi ya watu waliokuwa wanapita na magari yao kwenye njia hiyo, walimuona mwalimu na wakamuomba apande kwenye gari zao lakini alikataa.

Mwalimu alikuwa anawauliza swali swali watu hao waliokuwa wanataka wamchukue kwenye magari yao...."yule mama mjamzito hamkumuona ila mimi ndiyo mmeniona?

Hao watu aliokuwa akiwajibu hivyo mwalimu............. and they were being callled human beings!
 
Back
Top Bottom