Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 16,908
- 19,123
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda tembo mdogo akiwa mkubwa hivyo ni ngumu.Ila Simba akipata njaaa atamgeuka tembo na kumlaaa
Yeah, na hata mkubwa wakija Simba kama kumi hivi wanamkalishalabda tembo mdogo akiwa mkubwa hivyo ni ngumu.
Sina hakika kama ni photoshopPicha nzito sana.
Kama sio photoshoot
A Wild Love and Wisdom.
sina hakika kama ni photoshop
Russia na Ukraine hao.
Upo nchi gani dingi?labda tembo mdogo akiwa mkubwa hivyo ni ngumu.
Hamna uhalisia hiyo ni fotosholasina hakika kama ni photoshop
Bongoland kamandaUpo nchi gani dingi?
Basi utakuwa uko nyuma sana kama hujui kuwa simba wanaweza kula hata tembo mkubwabongoland kamanda
Akiwa peke yake lakiniBasi utakuwa uko nyuma sana kama hujui kuwa simba wanaweza kula hata tembo mkubwa