Andaa tiba hii ya vidonda vya tumbo (ulcers) na ulete mrejesho

Dr. Zaganza

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2014
Posts
1,814
Reaction score
2,738

mtomoko mjaafari kokwa la parachichi



Chukua mimea ifuatayo:1.Unga wa matunda ya mtomoko (Annona Cherimola) 500 gm2.Unga wa kokwa la parachichi (Persea Americana) 500 gm3.Unga wa mizizi ya mjaafari (Zanthoxylum chalybeum) 1,000 gm Changanya pamoja unga huo DOZI:Weka 5 gm (kijiko kidogo) cha mchanganyiko huu katika uji asubuh na jioni kwenye kikombe kidogo.Dozi ni siku 28.


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…