PakaJimmy
JF-Expert Member
- Apr 29, 2009
- 16,199
- 8,761
Muda huu kupitia Redio Clouds Redio Clouds RPC wa Arusha Andengenye anatangaza kuwa Mkutano uliopangwa kufanywa na CDM Arusha si halali maana walitoa taarifa jana saa 4 asubuhi, na yanatakiwa yapite masaa 48 baada ya taarifa , ndipo mkutano ufanyike..
pIA ANASEMA wamepata taarifa za kiintelijensia zinazoonyesha kuwa mkutano huo utasababisha uhalifu na uvunjifu wa amani...
Jamani, ni intelijensia gani hii inayoifuatilia CDM?
mBONA INTELIJENSIA ZA Ufisadi zina 'bounce lakini za wanaCDM zinafanikiwa?
Andengenye amekuja kwa kazi maalum Ars, na wala si kuwa RPC wa kawaida..